Yaani ameshajiapisha tayari kwamba Ni mshindi 2020?? Haoni kwamba Kwa kusema ataondoka baada ya Moana 10 Ni kiburi na kulidhihirishia taifa kwamba uchaguzi sio hoja ya msingi kwake?
Je Magufuli ametumia tathmini gani iliyompa uhakika kwamba 2020 lazima ashinde? Je Ni bomba la mafuta toka Uganda to Tanzania?
Magufuli acha kusigina katiba nani amekuambia tayari Wewe Ni Raisi wa miaka 10? Ujue viburi kama hivi Mungu huvifanya viishie kwenye fedheha....
Hata kusema nitaondoka baada ya miaka 10 Ni usanii kumfunika mtanzania asiyefikiri mbali asijue adhma yako ya moyoni.....Tungeweza kuupasua moyo wako tukaona unachokiwaza physically tungegundua uko nyuma ya haya Mambo yote.....mfano Magufuli baki.