Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

Ukiona CCM wanampigia Magufuli kampeni ya kukaa madarakani mda mrefu ujue washaona hakuna dalili nzuri kwa chama chao chaguzi zijazo. Magufuli amebaki mkombozi wao pekee akitoka yeye hakuna wa kureplace nafasi yake. Wote huo ni uoga kwan CCM inafifia siku hadi siku
 
kwa Tanzania ni miaka kumi tu.. hiyo mitano huwa tunafanya tu kuwaridhisha wahisani wetu
 
Hapa Bongo wale wavaa Kaunda suti wanakutoa kinguvu...kafie mbele kama Komando
 
Safi sana. Amewaumbua wapumb*&$# wengi waliojaa nchini!
Sio wapumbavu. Tukubali na tukili kuwa Afrika haita pata Marais kama hawa Thomas Sankara, Gerry Rolling na Magufuli tena. Hawa wanasifa ambazo ziko sawa: uzalendo, kupenda wananchi wenzao na tatu sio corrupt.

Na ndiyo watu wanao mpenda Magufuli wangeomba atawale mpaka lufa kwake kwani miaka 10 haitatosha kuleta maendeleo aliyeyakuaudia. Kwa wale wasio mpenda hiyo inajulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado tu una imani na Lowasa?
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asituzingue...yataandaliwa maandamano ya kumuomba aongeze muda...ataongeza tu kama kina Kagame na museveni huwa wanajidai wananchi ndio wanawataka.....
 
Katiba yetu inakuruhusu miaka mitano tu, baada ya hiyo iunaweza ukagombea endapo utapendekezwa ambapo unaweza ukashindwa (kitu ambacho haitatokea) au ukashinda. Hivyo kauli yake imezingatia swala la kutoteuliwa na kushindwa halipo.
 
Amesema yeye ni Rais aliye apa kulinda na kutumikia katiba.
Hata Mtani wake Ngonyani aliposema aongezewe miaka 20 amemuelewa kuwa ana maanisha aongezewe miaka 20 ya kuishi...
Kwa hiyo yeye ataendelea kuheshimu na kulinda katiba.
Shangilia!!!!!
 
Inakutosha hiyo uliyoiba haikuwa haki yako anyway! 2020 tu basi goodbye!! hakuna la mkono wala la mguu
 
Kauli tu haitoshi kuwazima wenye viherehere, anapaswa kuwakemea. Hiyo ni sawa na rushwa ambayo iko kwa sura ya sifa, yaani ni rushwa ya sifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Hata museveni kabla ya uchaguzi akiulizwa kama atabadili katiba ili aendelee kuwa rais huwa anang'aka muda ukifika anagombea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…