Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

huna moja unaanza kuongelea mbili.. maliza tano kwanza halafu mitano mingine kwenye sanduku la kura
 
Wewe magufuli sio wakumfananusha bora ata mimi ningeweza fanya vzr kuliko yeye magu kwanza ni favaratism/nepotism kwa issue ndogo tu ya cheti mbona bashite ahashugulikiwa, haya uvamizi wa clouz kumpatanisha muharifu na luge wakati mwarifu alipaswa kushughulikiwa. Lastly uyu MTU toka ameingia ameonyesha kushindwa kabisa bidhaa zimepanda mfano sukar etc

Sent using Jamii Forums mobile app

katika yooote nchi hii yanayofanyika na Magu, kuu lako ni la bashite!maskini bana
 
Ndiyo hoja pekee yenye mashiko kubadilisha katiba! Wananchi ndiyo wenye mamlaka kuamua raisi akae muda gani?
Mapendekezo yangu ni awamu nne za miaka kumi kumi kuanzia 2020!
 
Wananchi ndo wanamuomba, Yeye kasema hataki. Ila badae wakizi kumuomba anaweza akakubali maombi yao.

Ni sawa na kuchumbia tu ama wengine wanaita kutongoza.
Kwa vile katamuka kwa maneno yake mwenyewe sasa ni kazi kwa wanao taka abaki kuendelea kuomba. Kuanzia mwaka 2021 kitaeleweka.
kabisa tutaendelea kumuomba akubali kwa sababu tunampenda.
 
JAMANI WAFANYAKAZI WASERIKALI NA WAFANYABIASHARA NAOMBA TUVUMILIE KWANI IMEBAKI MIAKA 8 TU.BAADA YA HAPO TUNARUDI KULA NA KUPIGA DILL KAMA ENZI ZA KIKWETE. SAFI SANA MAGUFURI
Hahahahahahaha hio miaka 8 unadhani ni midogo sasa, ombea uhai na uzima tu kwanza!
 
ni kuhusu kuongeza muda wa kukaa madarakani ama kuibadili katiba
Kikatiba ni miaka mitano tu , aweke wazi kama atakubali kukabidhi nchi 2020 , baada ya wananchi waliochoka kutukanwa kuahidi kwa moyo mmoja kumpiga chini , hii ya miaka 10 ije baadaye .
 
Niwaulize swali la kitoto " Mlitegemea Rais asemeje ? kwamba atavunja Katiba aliyoiapa kuilinda??? Katiba imeelekeza Ukomo. Huyu ni Rais anayeheshimu katiba ingawa wengine watasema ooh anavunja katiba lakin wakiambia nendeni mahakamani mfungue shita la kuvunja katiba hao hao wangwaya mmh lkin hawaishi kusema. Kumbuka Katiba hiyohiyo ikibadilishwa na kutoa ruhusa kuwa anaweza kuendelea kuongoza na akiombwa kugombea kwani atakua anavunja Katiba gani? hivyo hilo sio guarantee kwamba keshasema basi haitakuwa. Wtanzania wakimtaka aendelee kuongoza kwa ridhaa yao huku Katiba ikiwa inaruhusu haitakua ajabu kwa cc kuandamana kumwomba aendelee na haitakua kuvunja Katiba. Jifunzen Kagame....Kwani Katiba ilikuaje ..na sasa imekuaje... Kwa utendaji huu mzuri wa Rais wetu......kazi zake ziko wazi na ikikaribia hiyo miaka 10 Watanzania wataamua kwani wao ndo wenye Nchi.
Sio suala la kusema tu, kuna watu walisema kwa Udi na uvumba haki ya nani LAZIMA nichukue Urais ! je walichukua? Ni kweli utaratibu wetu upo kikatiba lakini ikilazimika mambo hubadilika...Hivyi Rais mstaafu Mwinyi aliyeona mbali na kusema kunaweza kuwa na uwezekano huo wa yeye kuendelea , swali ? kwani hajui Katiba huwa ina ukomo huo kiasi cha kusema kwa maoni yake angetaka aendelee hata baada ya miaka 10? ! Viva Magufuli piga kazi, wananch ndo Watakusemea.
Ashukuriwe Mungu aliyetupa rais mchapakaz anayemtanguliza Mungu kwanza! Kazi zako zitakusemea tu labda ubadilike na kuacha kuchapa kaz. Maana wengine walianza na Fagio la chuma lkn sijui lilikatikia wapi..lkn hili la hapa kazi tu hakuna ambae hajaguswa wala kuliona
 
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.

Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.


Nani ajuae atamaliza full,team

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndio uongozi. CCM na Upinzani uendelee kujenga uwezo wa ndani wa kutengeneza viongozi. Ni hatari kama taifa kuamini katika mtu mmoja tu.
 
huyu toka awadanganye watumishi wa umma kule moshi siwezi muamini kamwe..
 
Back
Top Bottom