The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
huna moja unaanza kuongelea mbili.. maliza tano kwanza halafu mitano mingine kwenye sanduku la kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe magufuli sio wakumfananusha bora ata mimi ningeweza fanya vzr kuliko yeye magu kwanza ni favaratism/nepotism kwa issue ndogo tu ya cheti mbona bashite ahashugulikiwa, haya uvamizi wa clouz kumpatanisha muharifu na luge wakati mwarifu alipaswa kushughulikiwa. Lastly uyu MTU toka ameingia ameonyesha kushindwa kabisa bidhaa zimepanda mfano sukar etc
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa tutaendelea kumuomba akubali kwa sababu tunampenda.Wananchi ndo wanamuomba, Yeye kasema hataki. Ila badae wakizi kumuomba anaweza akakubali maombi yao.
Ni sawa na kuchumbia tu ama wengine wanaita kutongoza.
Kwa vile katamuka kwa maneno yake mwenyewe sasa ni kazi kwa wanao taka abaki kuendelea kuomba. Kuanzia mwaka 2021 kitaeleweka.
Hahahahahahaha hio miaka 8 unadhani ni midogo sasa, ombea uhai na uzima tu kwanza!JAMANI WAFANYAKAZI WASERIKALI NA WAFANYABIASHARA NAOMBA TUVUMILIE KWANI IMEBAKI MIAKA 8 TU.BAADA YA HAPO TUNARUDI KULA NA KUPIGA DILL KAMA ENZI ZA KIKWETE. SAFI SANA MAGUFURI
angeongeza aone
Kikatiba ni miaka mitano tu , aweke wazi kama atakubali kukabidhi nchi 2020 , baada ya wananchi waliochoka kutukanwa kuahidi kwa moyo mmoja kumpiga chini , hii ya miaka 10 ije baadaye .ni kuhusu kuongeza muda wa kukaa madarakani ama kuibadili katiba
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Takataka hata huyu tuliyemheshimu, takatakaAibu ya Mzee Mwinyi,Maji Marefu na taka taka zote zilizokuwa zinapigia upatu nyongeza ya muda wa muhula by 2025!
Halafu yule ndezi wa OP ya BAKI MAGUFULI aweke tako lake chini...
2025 tunawaletea jembe lingine!