BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni RAIA Wa kawaida sina zaidi ya mlo wangu Wa kila Siku ila sifanyi Kazi ya ubatili,labda wewe unakula kwa nguvu za magufuli , akiondoka huna mkate. Yaani mnatumia neno ufisadi kuficha Wa kwenu.Hatuwezi kupoteza bahati ya kuwa na kiongozi mwadilifu na mcha Mungu eti kwa kuwa katiba itakiukwa wakati sisi ndio wenye mamlaka na katiba hiyo. Viongozi aina ya Magufuli si wa kuwaachia kirahisi, hawapatikani kwa urahisi!! Ukiona watu kama mzee Butiku wanaunga mkono hoja ujue kuna maslahi ya kitaifa hapo!
Mafisadi kama mlikuwa mnasubiri miaka kumi iishe, imekula kwenu!!
Ni sawa lkn ikiwa kuna viashiria vya wizi basi tusizuie huo wizi kufanyika bali tusubiri wizi ufanyike halafu tulaumiane.Au tuanze kumtafuta mwizi ambaye taarifa na mipango yake ya wizi tulishaijua mapema.Kuhusu hili Kiranga aliwahi kuongea kitu nilimuelewa sanaView attachment 1697045View attachment 1697048
Magaidi yakiwa yanamchinja binadamu na yakiwa yana press button ya bomu la kujiripua huwa yanatamka ALLAH AKBALU alafu mtu anakuja kuniaminisha kuwa uislam na ugaidi ni vitu viwili tofauti mwisho wa siku sioni hata TAMKO MOJA kutoka jamii na taasisi za kiislam zikilaani matumizi mabaya ya dini ya kiislam.
SORRY KWA KUTOKA NJE YA MADA ILA FIKRA ZA MSOMAJI ZINAWEZA KULINK nilichoandika na mada ya mtoa post.
Hoja iko kwenye maneno haya "tumlazimishe hata kama hataki"Mkuu hofu yako ni nini? Rais alishasema Mara kadhaa kuwa hatazidisha hata siku moja ,muda wa kunga'atuka ukifika atatoka,atoke hadharani aseme nini ilikhali kitu chenyewe alishakisemea Mara kadha,by the way huwezi zuia hisia za watu ,kuna watu wanampenda rais wetu,kama wewe unachuki naye basi umekwisha.
Kingine Mimi nilidhani unalalamika juu ya rais kuzuia uchaguzi usiwepo,lakini cha kushangasha hata kama mheshimiwa rais atarefusha muda wake wa kukaa madarakani bado kuna uchaguzi mkuu,wewe kama unachuki naye msubiri wakati wa uchaguzi mkuu us usimpigie kura hapo utakuwa umemmaliza kabisa.
Kila siku mnalilia demokrasia lakini hata hamjui demokrasia inataka nini,kwa taarifa yako hiyo ndo demokrasia yenyewe.
Na lengo la kufuta upinzani hasa ilikuwa Ni kubaki CCM pekee ili hili lifanyike kwa urahisi na ufanisi.Anapima upepo. Narudia tena anapima upepo. Ndiyo maana kila akijitokeza hazungumzi kwa msisitizo na wala hajawahi kukemea hao washenzi wenye haya mawazo. Anapima upepo akiona upinzani umekuwa mkubwa na hawezi kutimiza ndoto yake basi aonekane kama hakuwa na hiyo nia. Marais wote wanaotaka kubaki madarakani huwa wanatumia hiyo njia.
Hiyo kura atasimamia nani!CCM wanataka aongezewe mdaa. CHADEMA awatikii. Dawa ni kura ya maoni tu.
Huyo mzee mkiongea ongea atakomaa kweli Bora aachwe tu. Hawa wote kawaandaa mwenyewe.Jinsi alivyoharibu Nchi aondoke tu.
Alisema muda ukiisha nitaondoka ili kuaminisha umma hivyo.Sasa kawatuma waje kusema TUTAMLAZIMISHA HATA KAMA HATAKI, ili mwisho wa siku ionekane ni wananchi walitaka hivyo.very simple. Haihitaji akili kubwa kunga'mua hilo.Hilo jambo sio kwamba tu Mzee Meko yuko nyuma yake, yuko mbele na kati. Yeye ndiye designer and engineer wa mpango mzima.
Jipe muda ndugu utaona mambo.
Haiwazuii wanachi kufanya hivyo kama wanatamani hivyo, hata kama wewe binafsi utakuwa siyo mmojawaoKwahiyo sisi wananchi ndiyo tunataka asalie madarakani.
Kuendelea na uenyekiti wa ccm ni sawa lakini siyo Urais was nchi hii tenaHata mbowe alisema anaheshim Katiba na hato ongeza muda ila vijana tukamchukulia form so acha magufuli na yeye vijana wachange hela ili wamjazie fom
Unafikiria kwakutumia nini?Mkuu hofu yako ni nini? Rais alishasema Mara kadhaa kuwa hatazidisha hata siku moja ,muda wa kunga'atuka ukifika atatoka,atoke hadharani aseme nini ilikhali kitu chenyewe alishakisemea Mara kadha,by the way huwezi zuia hisia za watu ,kuna watu wanampenda rais wetu,kama wewe unachuki naye basi umekwisha...
Kwahiyo hao wanaoongea bungeni ni wewe uliwatuma.Haiwazuii wanachi kufanya hivyo kama wanatamani hivyo, hata kama wewe binafsi utakuwa siyo mmojawao