This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Sasa hivi hili vuguvugu ndiyo limekuwa dhahiri.Wanasiasa Ni vigeugeu.Na za chinichini zinasema watu wako kazini kwa uwezeshi wa ofisi ya spika.Kishasema Mara nyingi tu.
Wanasiasa wanaongea kwa timing kulingana na wakati.Leo ili kuipa hoja yao nguvu imekuwa tutamlazimisha atake asitake kwa maana kwamba hataki Ila watamlazimisha.Yaani wanamtoa kwenye hoja na lawama wanamweka pembeni.
Kwamba hataki lakini sisi tunahitaji asalie madarakani .Wamejipanga.