Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

Kwenye haki bin haki hawezi kupata. Maana hakuna ambaye hajaumizwa na Magufuli. Nambie nani aqtampa kura ukiacha wachache wanaofaidi upendeleo wake
Inaweza ikawa kweli.

Ila sio kwa asilimia tano!
 
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, ninamwomba Mh. Rais Magufuli atoke hadharani na atoe kauli kuhusu hili suala la watu wachache wenye maslahi binafsi kutaka kucheza na katiba yetu. Wakitaka aidha kuondoa ukomo wa muda wa uraisi au wakitaka kumwongezea muda wa kusalia madarakani.

Ikiwa MH Rais hayuko nyuma ya hili Jambo la kiwendawazimu na ikiwa anaiheshimu katiba aliyoapa kuilinda basi kwa heshima namwomba atoke hadharani rasmi na awakemee wote wanaosuka mpango huu. Tena wakijinadi kwamba watamlazimisha Mh.Rais.

My.Rais ukiiheshimu katiba na kipindi cha miaka yako kumi kikiisha ukaondoka,basi utaondoka kwa heshima iliyotukuka.

MH.Rais endapo hutatoka hadharani ukalizungumzia hili basi sisi wananchi tutaamini aidha uko nyuma ya mpango huu na kama hauko nyuma ya hili na hujawatuma Hawa watu basi tutaamini unapenda hili lifanyike.

Nb: Jambo ambalo nilikuwa silijui Ni kwamba kuna watu,mtu au kikundi cha watu kwa Nia zao nzuri au ovu wana uwezo wa kumlazimisha Rais atekekeze matakwa fulani tena apende au asipende. Na mpaka sasa hivi sijui hili limekaaje kikatiba au kisheria.

Nini mtazamo wako.
 
Kama atafanikiwa kuondoka kwa mujibu wa katiba iliyofuatwa na maraisi watatu waliotangulia itakuwa heri.
Mtu mmoja akikaa madarakani hata kama angekuwa mzuri na mkamilifu kama malaika huwa anachosha.

Nina imani hata sasa kuna zaidi ya 50% ya wananchi waliokwisha kuchoshwa, alafu bado kuna hii mi-5 tena itawachosha zaidi.
Alafu useme aendelee, ikiwa hivyo kuna watu watakufa. Na yeye alishasema hataki kuuwa watu, hataki baadaye aliliwe na damu za watu.
 
Kama hakubaliani na hizo kauli angejitokeza na kusema huo ni mwisho na hataki kusikia huo mjadala. Hebu sasa hivi atokee mtu aseme tutamtoa rais madarakani kabla ya muda wake taka asitake uone kama atabaki uraiani au hai.
 
Hao walazimishaji wenyewe wana mamlaka gani, basi ngoja sisi tusio na ushawishi tukae huku pembeni tuwashuhudie hao manguli wenye ushawishi wakimsimika malaika mkuu kuwa wa milele.....wasiwasi wangu isije kufika Kenya wakaja kuikomboa Tanzania kama sisi tulivyofanya kwa Uganda.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, ninamwomba Mh. Rais Magufuli atoke hadharani na atoe kauli kuhusu hili suala la watu wachache wenye maslahi binafsi kutaka kucheza na katiba yetu. Wakitaka aidha kuondoa ukomo wa muda wa uraisi au wakitaka kumwongezea muda wa kusalia madarakani.

Ikiwa MH Rais hayuko nyuma ya hili Jambo la kiwendawazimu na ikiwa anaiheshimu katiba aliyoapa kuilinda basi kwa heshima namwomba atoke hadharani rasmi na awakemee wote wanaosuka mpango huu. Tena wakijinadi kwamba watamlazimisha Mh.Rais.

My.Rais ukiiheshimu katiba na kipindi cha miaka yako kumi kikiisha ukaondoka,basi utaondoka kwa heshima iliyotukuka.

MH.Rais endapo hutatoka hadharani ukalizungumzia hili basi sisi wananchi tutaamini aidha uko nyuma ya mpango huu na kama hauko nyuma ya hili na hujawatuma Hawa watu basi tutaamini unapenda hili lifanyike.

Nb: Jambo ambalo nilikuwa silijui Ni kwamba kuna watu,mtu au kikundi cha watu kwa Nia zao nzuri au ovu wana uwezo wa kumlazimisha Rais atekekeze matakwa fulani tena apende au asipende. Na mpaka sasa hivi sijui hili limekaaje kikatiba au kisheria.

Nini mtazamo wako.
Magufuli hawezi kutoka madarakani kamwe
 
Magaidi yakiwa yanamchinja binadamu na yakiwa yana press button ya bomu la kujiripua huwa yanatamka ALLAH AKBALU alafu mtu anakuja kuniaminisha kuwa uislam na ugaidi ni vitu viwili tofauti mwisho wa siku sioni hata TAMKO MOJA kutoka jamii na taasisi za kiislam zikilaani matumizi mabaya ya dini ya kiislam.
SORRY KWA KUTOKA NJE YA MADA ILA FIKRA ZA MSOMAJI ZINAWEZA KULINK nilichoandika na mada ya mtoa post.
 
Tanzania hivi sasa imekumbwa na kaugonjwa cha watu kukopi kila kukicha watu wamegeuka kasuku!
 
Mkuu naamini umelala usingizi mzito.

Hili lipo calculated na wafia madaraka!
Inawezekana kabisa sijalala au nmelala lkn inawezekana pia wewe pia unaspeculate tu.

Mm kuliongea jinsi nilivyoongea ni kwamba viashiria vyote vipo siku nyingi tangu kauli za kina Juma Nkamia,Rais mstaafu Mzee Mwinyi, juzi tumemsikia mtu ambae huwezi kumdhania Mzee Butiku. Tumeona nguvu ya kuhakikisha tuna bunge la chama kimoja.

Ndiyo maana nahitaji alisemee hili tumsikie kauli yake.
 
Wametumwa hao
Huo ni upande mmoja.Inawezekana Kuna kikundi cha watu wachache kwa maslahi yao wanataka hili lifanyike.

Na kwasababu inaonyesha kwa Sasa wamejipanga vilivyo ndiyo tunahitaji MH.Rais atoke hadharani aidha aunge mkono au akatae na awakemee waheshimu katiba.

Sioni mantiki ya mtu kusema tutamlazimisha,pia upande mwingine Ni kauli ambazo zimepangwa kutokea hivyo,kisingizio kikiwa akamilishe aliyoanzisha as if kwamba ktk Watanzania wote milioni 60 hakuna anaweza kuongoza hii nchi kwa ufanisi isipokua Mh. Magufuli.
 
Back
Top Bottom