JOESKY
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 816
- 2,034
Mbowe anahusianaje na Urais wa TanzaniaHata mbowe alisema anaheshim Katiba na hato ongeza muda ila vijana tukamchukulia form so acha magufuli na yeye vijana wachange hela ili wamjazie fom
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe anahusianaje na Urais wa TanzaniaHata mbowe alisema anaheshim Katiba na hato ongeza muda ila vijana tukamchukulia form so acha magufuli na yeye vijana wachange hela ili wamjazie fom
Ujinga ujinga tuHaiwazuii wanachi kufanya hivyo kama wanatamani hivyo, hata kama wewe binafsi utakuwa siyo mmojawao
AgreedNdungu zangu Watanzani sio kosa wala sio zambi kumuongezea muda wakuitawala Tanzania Raisi Magufuli ili aweze kumalizia miradi aliyoianzia...
Ni sawa lkn ikiwa kuna viashiria vya wizi basi tusizuie huo wizi kufanyika bali tusubiri wizi ufanyike halafu tulaumiane.Au tuanze kumtafuta mwizi ambaye taarifa na mipango yake ya wizi tulishaijua mapema.
Pili, nilicholeta si kumhukumu bali ni kutokana na movement inayoendelea. Kuna ubaya gani kusikia msimamo wake rasmi. Au unataka tuamini kuwa analazimishwa, kumlazimisha maana yake hataki. Na km hataki atoke hadharani na aseme sitaki na mjadala uishe.
Unasema ww usitunzungumzie wengine bhn na kauli za uwingi uwe. Unaangalia mkuuuuHabari za jioni wanajamvi?
Ili kuwaelewa hawa watu wanao sema Rais Magufuli aongezewe muda lazima na wewe uwe certified fool. Unajua kwanini? Maana yake ni moja tu kuwa wamesha ona kuwa Maguli ameshinda uchaguzi 2025 na ameshinda tena 2030!! Maana yake ni kwamba aidha watafuta mfumo Wa vyama vingi au wataimarisha kitengo cha wizi wa kura. Kwa kupigiwa kura na watanzania hawezi kupata hata 15% ya kura zote. Wakiamua kuiba au kupora uchaguzi wanatutafuta ubaya. Yaani hatutakubali kuwa wajinga mara mbili. Wanacho jivunia nasisi tutanunua ulaya. ONCE BITTEN TWICE SHY. Wakifuta vyama vingi sijui kama patakalika.
Actually siwahusishi certified fools! Najua Tanzania imejaa watu watu wenye akili timamu kuliko slow learners au to precise bendera fuata upepo.Unasema ww usitunzungumzie wengine bhn na kauli za uwingi uwe. Unaangalia mkuuuu
Sio wote fool mkuu usichukulie kila mtu fool na usion nasema hvy uwez kusema hatutakubal sasa hapo umeongea wa au na ukiona utajibu vibaya kam hv kukataa kmya busara piaActually siwahusishi certified foo l Najua Tanzania imejaa watu watu wenye akili timamu kuliko slow learners au to precise bendera fuata upepo.
Mbona hujui kuandika?Sio wote fool mkuu usichukulie kila mtu fool na usion nasema hvy uwez kusema hatutakubal sasa hapo umeongea wa au na ukiona utajibu vibaya kam hv kukataa kmya busara pia
Umeona mam D alichojibu ety maamuz ya kutak kubaki yako mikonon mwa mwanach na sio wwMbona hujui kuandika?
Kamanda wangu na wewe mhaini?[emoji23][emoji23][emoji23]CCM ni nguruwe!
Hata wewe kamandress?[emoji4][emoji4][emoji4]Jifunze kuandika kwanza kabla uanze kutetea uchiinga..!!
Kumbe ni kuheshimu katiba na siyo lazimaView attachment 1696487
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Mungu akubariki ulieandika hapaRais Magufuli katiba yetu ya jmt inasema urais ni miaka kumi mwisho atakaeongeza zaidi ya hapo atapaswa kuchukuliwa Kama mhaini
Kuna watu wanakupigia debe uendelee kutawala hata baada ya miaka kumi kwisha tunaomba uwakemee kwa maana wanataka kulitikisa taifa kuna mtu anaitwa mkulima huyu anataka kulitikisa taifa akemewe vinginevyo itatafsirika unavunga ila kimsingi unautaka muda wa nyongeza nje ya katiba kwa lazima.
Pia Rais tambua kwamba watanzania tuko milioni hamsini na tano hivi kweli haya sio matusi ya wazi kwamba hakuna mtu mwingine zaidi yako Kati yetu milioni hamsini na tano?
Mh Rais legasi aliyoiacha mwalimu ya kung'atuka kwa hiari ndiyo iliyoiletea Tanzania heshima
Mwinyi hakuivunja
Mkapa hakuivunja
Jakaya hakuivunja
Wewe ukiivunja kumbuka moja utaharibu na kuchafua historia ya taifa letu lakini pili ikitokea nchi ikaingia matatizoni kwa jaribio hili la kung'ang'ania madaraka wewe ndio utawajibika moja kwa moja
Mh Rais umezungukwa na wanafiki wanaokuogopa na wanaonufaika na uwepo wako Hawa wote wanakuambia unayoyapenda na kutaka kuyasikia hawakuambii ukweli
Mh Rais wakina mkulima wanajua wako salama wakijipendekeza kwako maana kinyume chake Ni maangamizo kwao watu wanaojiita mataga Ni wanafiki wa kutupwa usiwasikilize hata wanaccm wanaoimba nyonjera za wewe kubaki wanatetea mradi wao sio kweli kwamba wewe unapendwa hapana wanakuogopa na kimsingi hawakuogopi wewe wanaiogopa dola kutekwa kupigwa risasi na kubambikiwa kesi.
Ushauri wangu kwako
Muda wako ukifika ondoka kwa heshima vinginevyo mchuma janga hula na wakwao !!
Nakutakia baraka amani na upendo viendelee kutawala katika moyo wako na taifa letu kwa ujumla !!
Wasalaam!