Rais Magufuli: Rais Kenyatta alinipigia simu, tulizungumzia mgogoro uliopo mipakani

Mtu ukichokozwa-chozwa, na wewe lazima uchokoze....... Message Send!
 
Hivi lipo LIVE au ndio wapo LIVE na maneno ya Rais kuwaambia dereva wake hana Corona...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya has the least skilled diplomats in the region kuomba poo sio jambo la kushangaza kwa mtu ambae afikirii countermeasures za mwenzake kabla ya kukurupuka.

Hii sio mara ya kwanza na wala aitakuwa ya mwisho Kenya kukurupuka na kuomba yaishe. You canโ€™t be influenced by emotions when making major decisions.
 
kenyata ndo kapiga cm kuomba poo kwa magu.alafu magu kawatupia watendaji wake kama kabudi na ma rc,ambao kwa sasa wapo bize mpaka baada ya wiki nne,

kwa hiyo wakenya mtakaa na njaa mpaka baada ya mwezi hivi,
kwa sasa kuleni panzi na mirungi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muakilishi TZ @MuakilishiTZ ยท 18m

โ€œJuzi nilipigiwa simu na Kenyatta nikiwa bado Chato, akanipa pole na kujielezea mambo ya corona kidogo, leo pia mimezungumza nae pia, kuna kimgogoro kule mpakani mwa Kenya, Kenya ni Marafiki zetu, corona isiwe chanzo cha migogoro, sisi Marais tumeyamalizaโ€-Rais Magufuli #Singida

Kenyatta amemtuma balozi wake Tanzania kuomba msamaha

Amemuagiza waziri wa mambo ya nje amtafute Kabudi, Kabudi akamlima week

Ameona haitoshi, kajitoa muhanga kumvutia waya JPM one time

Nayo Ameona haitoshi kaamua tena kumvutia waya kwa mara ya pili ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ JPM kaona sasa hii kero ameamua kujipa ziara ya kushtukiza ili amuoneshe Kenyatta kwamba hayupo sababu ya kupokea simu zake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mwaka huu wenu, mtakoma kuchezea sharubu za African Giant ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 

Rais Magufuli akiwa njiani toka Chato leo mchana alisimama akiwa Singida na kuzungumza na wananchi na kudokeza kwamba rais wa Kenya Uhuru Kenyatta anempigia simu akiwa Chato Mara mbili na kumuoma wayamalize kwa amani matatizo ya mpakani yaliyosababishwa na Kenya kufunga mipaka.

Tulikwisha sema kwamba Kenya lazima wataomba msamaha mwisho wa siku. Tanzania ni baba lao mbele ya Kenya. Povu ruksa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua unacho andika?

In God we Trust
 

Kama unaamini kilaza kama jiwe unafaa upimwe akili wewe. kuingia Kenya lazima upimwe! hapo hatulegezi! kama unabisha njoo ujaribu kuingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ