Kenyatta alipo m bip Magufuli alitegemea apigiwe? Hivi hajawajua watanzania Hadi Leo? Mtanzania akinyamaza kimya sio mjinga akiinama yuko Kama kobe anatunga sheria akiinuaa kichwa Haki ya Mungu naapa atakachokulfanyia hutaaminiRais John pombe Magufuli leo amesema Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta alimpigia simu na kumpa pole
Pia Rais Magufuli amesema kuwa wamezungumzia mgogoro ulipo mipakani mwa nchi hizi mbili na kuamua mawaziri wa pande zote mbili wanaohusika na Uchukuzi kukutana.
Huko doro sana nani aje๐๐kuna nini cha kupanick hapa? Akili za kajamba wa ccm kama wewe ni fupi sana ndio maana unaweza kuamini upupu wa meko.Njoo mpakani ujaribu kuingia Kenya uone kama hatutakupima hadi akili.
Kumbe tupo wengi tunaona hiki kitu. Uhuru huwa anatafuta sana namna ya kumzoea JPM na mara huwa hana amani akiwa na JPM.Kweli kabisa, unajua uhuru anamuogopa sana JPM, kama ni mtaalamu wa kusoma body language ukiangalia Ile video ya uhuru akiwa Chato alikua uncomfortable kabisa japo anataka mazoea na Magufuli kichizi This time alimtumia Odinga exactly kabla hata ya hili saga, Magu hakua na time nao wote this time [emoji28][emoji28][emoji28] mpaka Odinga kaenda kushtaki BBC ili tu kumalert incase wasaidizi wake hawakumpa taarifa, lakini Magu ndio kwaaanza hakua na time Sipati picha huo muweweseko wa Kenyatta, Magu alivyopokea simu yake [emoji28][emoji28][emoji28] na ndio maana hakuamini ikabidi apige upya kudhibitisha kama kweli hakua anaota [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wafayabiashara wa kenya kusikia tu mpaka wa Tanzania imefunga mpaka wamepandisha Bei ya vyakula Mara nne sehemu zingine na ikipita wiki tu keyatta ataingia matatizo makubwa Kenya sababu hata aagize chakula nje mpaka meli ifike sio leo wakenya sio wavumilivu watakianzisha Kikwete jiandae kwenda kuwasuluhisha tenaKenyata wakati anatangaza kufunga mipaka alikuwa sober sana na macho kama viazi mviringo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza kuleta mbwembwe sasa baada ya kuhakikishiwa utaendelea kuletewa ugali hapo Kenya?Mtaendelea kunywa maziwa ya brookside...ni ya ********* [emoji23][emoji23][emoji23]
Brookside mazuwa ya kampuni za Kenyatta sawa yanaingiaje Tanzania wakati madereva wa malori wakenya hawaruhusiwi kuleta Tanzania? Na yeye anasema madereva wa Tanzania Wana corona Nani wa kuleta maxiwa yake toka Kenya kuja Tanzania na Tanzania imekataa madereva wa Kenya? Anywe mwenyeweMtaendelea kunywa maziwa ya brookside...ni ya ********* ๐๐๐
Na wangecheleewa....Hilo lilitegemewa tu
Sasa umaarufu alionao JPM utamlinganisha na uhuru? JPM Akiongea dunia yote inamsikiliza
Najua umenielewa!!Unajipoza tu....sindano yenye dawa ishakuingia๐๐๐๐๐
Sasa umaarufu alionao JPM utamlinganisha na uhuru? JPM Akiongea dunia yote inamsikiliza
Comedian ๐๐Sasa umaarufu alionao JPM utamlinganisha na uhuru? JPM Akiongea dunia yote inamsikiliza
Tumesha achana na hizo mambo muda siku hizi tunakunywa asas milk, azam milk, tanga fresh, milkcom na ya kukamuwa wenyewe.Mtaendelea kunywa maziwa ya brookside...ni ya ********* ๐๐๐
kabisa ndg unajua mpaka sasa kenya hawaamini kama tunachofuatilia kutoka kwao ni ile tamthiliya pendwa ya handshake tu.Kenyatta alipo m bip Magufuli alitegemea apigiwe? Hivi hajawajua watanzania Hadi Leo? Mtanzania akinyamaza kimya sio mjinga akiinama yuko Kama kobe anatunga sheria akiinuaa kichwa Haki ya Mungu naapa atakachokulfanyia hutaamini
Kenyatta be careful with Tanzania keaders they are not stupid and illiterate as most Kenyans believe!!!!
Yupo vizuriNajua umenielewa!!
Kabudi anaendeleaje baada ya kunywa mkojo wa wangazija๐๐
Unajua maana ya maneno busara na ustaraabu? Uhuru anayo busara na mstaarabu. Siyo wale small nothings tumeshuhudia wanajipiga vifua border.Mbona wamechemsha, mapema hivyo?
Kwani walipoamua kufunga mpaka wao walimpigia nani simu?
Wasitichezee tupo bize na uchaguzi, wasubiri hadi uchaguzi upite ndipo tuwafikirie ombi lao