joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwanini asimgetumia hiyo busara kwa kumtafuta Magufuli kabla ya kufunga mpaka?, Kenya viongozi wenu hawana akili kama mlivyowakenya wengi, unaona jinsi anavyojidhalilisha kwa kuomba msamaha?,Unajua maana ya maneno busara na ustaraabu? Uhuru anayo busara na mstaarabu. Siyo wale small nothings tumeshuhudia wanajipiga vifua border.
Ndo kashapima! Safi sana....Kea hiyo gari zinaingia Kenya Sasa? Dereva wangu anasema bado hajavuka.
Kenyatta kazungukukwa na washauri mafisadi walimshauri funga mpaka wauze vyakula bei juu wasumbue wakenya ushauri wote Wa Lockdown nk ukikuwa w washauri mafisadi wanaotaka kupiga pesa kwa kisingizio cha corona .Anyway raisi Kenyatta MTU poa nimeshawahi kutana naye break pointi kabka kuwa raisi akijurusha kila weekendNdio Alijua bado ni JK
Poa tu who cares mizigo haitaenda Kenya tunajikomba nini kwao to hell with them kila MTU apambane na hali yake iwe corona, njaa au chochote.I can assure you nothing much will change ,we aren't compromising the health of Kenyans ...Lazima shughuli ya kupima na kuwarudisha wote walio na Corona itaendelea .
Lazima shughuli ya kupima itaendelea Kenyans can't afford to import Corona from Tanzania .Kea hiyo gari zinaingia Kenya Sasa? Dereva wangu anasema bado hajavuka.
Kuna asas huku,ishaanza kusogea mpk zambia,brookside ishajifia kitamboMtaendelea kunywa maziwa ya brookside...ni ya ********* πππ
Hahaha. Kuna watu ni mafala sana. " eti hakuamini ikabidi apige tena"Kweli kabisa, unajua uhuru anamuogopa sana JPM, kama ni mtaalamu wa kusoma body language ukiangalia Ile video ya uhuru akiwa Chato alikua uncomfortable kabisa japo anataka mazoea na Magufuli kichizi This time alimtumia Odinga exactly kabla hata ya hili saga, Magu hakua na time nao wote this time [emoji28][emoji28][emoji28] mpaka Odinga kaenda kushtaki BBC ili tu kumalert incase wasaidizi wake hawakumpa taarifa, lakini Magu ndio kwaaanza hakua na time Sipati picha huo muweweseko wa Kenyatta, Magu alivyopokea simu yake [emoji28][emoji28][emoji28] na ndio maana hakuamini ikabidi apige upya kudhibitisha kama kweli hakua anaota [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Aah! Wapi Mkuu wewe hujui Mambo yanavyoendeshwa...sio lazima jina liambatane na lile ulijualo. I come from a capitalist society najua Mambo yanavyoendeshwa πTumesha achana na hizo mambo muda siku hizi tunakunywa asas milk, azam milk, tanga fresh, milkcom na ya kukamuwa wenyewe.
Muhimu ni kwamba Uhuru Kenyatta ameomba msamaha kama tulivyotarajia, Tanzania baba lao.Lazima shughuli ya kupima itaendelea Kenyans can't afford to import Corona from Tanzania .
Your leaders have been careless and Kenyans can't suffer from their mistakes .
wewe mbuzi,hakuna ambaye amesema watu wasipimwe.Lazima shughuli ya kupima itaendelea Kenyans can't afford to import Corona from Tanzania .
Your leaders have been careless and Kenyans can't suffer from their mistakes .
Angekua na busara asingekimbilia kufunga mpaka,halafu anapigia watu simu kuomba waongeeUnajua maana ya maneno busara na ustaraabu? Uhuru anayo busara na mstaarabu. Siyo wale small nothings tumeshuhudia wanajipiga vifua border.
Kha! WaTanzania!! Hivi ni uelewa wenu ndio mdogo ama namna gani? Nani kaomba msamaha? Pombe amesema alipigiwa na Kenyatta akapewa pole juu ya CORONA, wakakubaliana kutatua mgogoro mpakani.
Hadi leo bado mpaka UMEFUNGWA isipokuwa magari ya mizigo. Pili, madereva wote wanaoingia Kenya ni sharti wapimwe. Inaonyesha kuwa Kenya bado tumeshikilia msimamo wetu.
[emoji23][emoji23][emoji23] ati Kenya inaomba msamaha. Msamaha wa nini? [emoji81][emoji81][emoji81]
Unamaanisha nini wewe? Kenya tulifunga mpaka ila kwa mizigo tu, viongozi wenu wakakurupuka na kuamrisha mpaka ufungwe kabisa (hata mizigo). Huoni jinsi mnatawaliwa na UJINGA? Kenya tulichofanya ni kubembeleza tuu. Tanzania mna behave kama demu yani hard to get, so ni lazima tuwasuke suke ki mpango.Ndioo ,tumefunga tu mkaanza kuliakulia nyie mbona mlipofunga kwenu hakuna kiongozi wa tZ aliyeongea sisi kubana kidogo tu mpka kenyata akapiga simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila sijawahi kuwaona watu wenye upeo mdogo kama wakenya.Unamaanisha nini wewe? Kenya tulifunga mpaka ila kwa mizigo tu, viongozi wenu wakakurupuka na kuamrisha mpaka ufungwe kabisa (hata mizigo). Huoni jinsi mnatawaliwa na UJINGA? Kenya tulichofanya ni kubembeleza tuu. Tanzania mna behave kama demu yani hard to get, so ni lazima tuwasuke suke ki mpango.
Inaumaaa