Rais Magufuli relax, hawataki Urais wako bali wanataka ujivuruge

aliishasema hashauriki, sasa wewe nani wa kumshauri
 
Wazazi wangu walishakata tamaa na mimi,wametumia mamilioni ya pesa kunisomesha na nimerudi kuwa mzigo home,do you think i care? I real hate all of you,all of you maccm.
Chuki humchoma aliye nayo Moyoni,!
Nashukuru sabbu sasa nimeelewa maana ya andiko lako la kwanza.

Kwa welevu wanajua jinsi ilivyo rahisi kumtumia mtu aliye na chuki kwa faida yao, akija kushtuka majuto ni mjukuu.
Wale wanaojiripua kule kwa wenzetu sio kwamba wanapenda wanafanya hivyo kwa sabbu ya chuki waliyo aminishwa kuwa ipo , umesema vyema u hate all Maccm.
Hivyo huongozwi na agenda ya maendeleo ila chuki ambayo bila shaka nyuma yake ina sabbu.
Natumai unaweza kuwasaidia sana watu wenye taaluma yao kupata mwanga wa wanachokitaka.
Kila la heri na hongera sana mkuu.
 
Wewe jamaa ni lijinga sana. Unahitaji ushahidi gani kuwa wauza korosho walikuwa wanadhulumiwa? Unataka ushahidi gani kujua wazungu ni wezi wa mali zetu?
 
Kufumba na kufumbua tupo libya ya Gadafi
 
Mkuu hao wengine ni chama pinzani lakini kwa membe hata mimi napata wasiwasi lazima kuna kitu au kama hakipo basi hizi kelele haziwezi kupita salama
Maslahi ya tabaka fulani yanapoguswa lazima wahusika wajipange kinyume, nguvu ya watu walio fukuzwa bandarini, pressure ya mabinti waliokuwa wanawekwa mjini na mishahara hewa.! Kutoka kwa hawala zao.! Madalali wa siasa waliokuwa wanakula kupitia miradi mbalimbali ya CCM wimbi la watu waliokuwa wanamtaka lowassa ndani ya CCM, ili waendelee kula kwa amani.

Haya yote ni mambo ya Msingi kuyazingatia ilikuwa ni suala la muda tu kuanza kujitokeza na jingine ambalo wenye busara wanapaswa walitupie macho ni aina ya watu walio hamia CCM kutoka kambi ya upinzani wao sio wajinga wanajua kwanini waliondoka huko na wanaweza kuwa na nia njema amba mbaya ili kutimiza lengo fulani..

Naaamini bado kuwa kazi ya pua, ni kunusa, kujua aina ya harufu na pale inapotekea, kazi ya macho ni kuona na kujua rangi halisi. Na bila shaka kazi ya masikio ni kusikia aina ya sauti na lengo lake, kisha baada ya tafakuri na uhakikisho,
Natumai kila mtu atavuna alichokipanda.
In the name of Democracy.
 
Magufuli ndio rais mpaka 2025,Hii ya Membe nadhani ni ya Mbowe ili mpunguze kumshambulia kuachia uenyekiti! Nadhani ulikuwa mkakati uliopita ili kuwachonganisha ccm
 
Halafu kibaya zaidi hunijui sikujui,unadhani una uwezo wa kumtisha kila mtu? Ungenijua ungelala tu muda huu.
Nimetamani kujibu hapa lakini nahisi kama nitakuwa sijakutendea haki.
Natumaini watu wote uliokutana nao leo kokote ulikokuwa unawafahamu kwa kiwango cha kutosha.
Usiku mwema.!
 
Wewe jamaa ni lijinga sana. Unahitaji ushahidi gani kuwa wauza korosho walikuwa wanadhulumiwa? Unataka ushahidi gani kujua wazungu ni wezi wa mali zetu?

Hilo la wazungu kutuibia tulipo piga kelele mlisema tuna wivu. Leo ndio mmejua? Ni hatua gani mmewachukullia walioingia mikataba michafu zaidi ya kulindana? Tatizo la wakulima wa korosho limesababishwa na ubabe wa serekali kwa amri za jiwe. Msidhani hatujui chanzo cha tatizo.
 
Hapa ndui/mhutu mpk atolewe, mgongoni ndiyo tutapumzika.
 
Wewe na wajinga wenzako,sio wana ccm...bavicha tunawajua kwa vipost vyenu vifupi hivi kama akili zenu!
Yaani Mungu angekupa uvumilivu uendelee kutokuweka post humu,umeandika pumba tupu,Mimi na wanaCCM wenzangu tunamtaka Membe.
 
Yaani Mungu angekupa uvumilivu uendelee kutokuweka post humu,umeandika pumba tupu,Mimi na wanaCCM wenzangu tunamtaka Membe.
Sema wewe unamtaka Membe sio na waccm wenzako.mnaisoma number mlizoe ubwete ubwe mmekutana na chuma.
 

Rais atilie maanani andiko la Musiba? Are you the guy? What’s going on?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…