Rais Magufuli relax, hawataki Urais wako bali wanataka ujivuruge

Watu hawamtaki , jombaa watu wamevurugwa ililkuwa bahati mbaya mazee
 
Wewe jamaa ni lijinga sana. Unahitaji ushahidi gani kuwa wauza korosho walikuwa wanadhulumiwa? Unataka ushahidi gani kujua wazungu ni wezi wa mali zetu?

Ila Alhaji DAB sio fisada au unasemaje. Msamaha wa 1.5 billion wa kuingiza makochi na massey ferguson yote haya huku yaona.Hii double std ya jiwena kiburichake cha kuzarau wananchikufikia kusema watakiona cha mtema kuni ndo hasa huyo mdau hapo juu anakilalamikia plus 1.5T
 
Kabisa chief ". jk na lodi lofa wana stahiki lawama za kudumu

KINGUNGE

“Kitendo cha kuinyang’anya Kamati Kuu mamlaka yake ni kibaya, wanajiita kamati ya maadili wakati kamati yenyewe haina maadili, hii nchi ni yetu sote hata chama ni chetu sote wachache tuliowapa madaraka ndani ya chama na serikali wanadhani nchi ni yao,”
 
Mdanganye tu mwenzio
 
Ungeweka namba yako au barua pepe in case wanataka kukupa teuzi
 
Kwa utawala huu hata shetani mwenyewe anauogopa , Mungu atusamehe kwa kweli, kufanya kosa ni kosa ila kurudia kosa ni kosa kubwa . Twende na Membe 2020.
 
Alishasema kuwa yeye hashauliki na wala hapangiwi, yeye nijiwe sasa unamshauli kama nani?
 
Naunga mkono hoja. Eti Bernard ....huu utani mwingine bora ukafanye na watoto wako chumbani huko ....wengine hatuishi kwa matukio ....hatusahau tulipotoka ...
 
Presha inapanda presha inashuka.!!

Membe anaingia kipindi cha pili kuokoa jahazi LA timu.
 
Chokochoko gani wewe choko acha kutisha watu kwa ufala wako
 
Ukiona wachawi wanawangiana wenyewe kwa wenyewe ujue nguvu zao zimeisha
 
Yaani Mungu angekupa uvumilivu uendelee kutokuweka post humu,umeandika pumba tupu,Mimi na wanaCCM wenzangu tunamtaka Membe.
Sio uhaini kumtaka mtu flani awe raisi wako ktk nchi ya kidemokrasia.
Lakini ukae ukijua sio kila unae mtaka au ambae anatamani uraisi anakuwa raisi wakati huo unaotaka wewe au anaitaka yeye. Kuna watu wengi zaidi huko CCM walimtaka Kikwete awe raisi 1995 na haikuwa hivyo hadi 2005, Membe asubiri tu 2025.

Right now Membe is not ruthless and frugal enough to be our president.

Mimi namshauri Mh. Magufuli ampe ulinzi mkali Membe ili wabaya wake wasimteke na kupata sababu kutaka external intervention.
 
Mkuu hayo mabepari ni majitu hatari sana. Hayakati tamaa haraka, yamemtafuta Ghadafi zaidi ya miaka 20, yameitafuta roho ya Hugo Chavez miaka kibao.

Cha muhimu mjomba Magu amlinde Membe asidhuriwe hata na nzi watakosa sababu.

Majamaa ujue yanaumia sana kuona mwaka wa 3 huu kule kwenye diamond na makinikia hawapigi mpunga mrefu. Kwenye gesi yamejaribu kwenda Mozambique lakini hakuna amani uwekezaji ni wa mashaka kutokana na usalama duni.
 
Kweli ampe ulinzi wa kutosha rais mtarajiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…