Kawaponzaje? Halafu sheria ya kuwafukuza wajaopata mimba shuleni kaanzisha yeye?Huyu jamaa aandikiwe hotuba, kumnyima mtu elimu ni kumkatalia haki yake ya kibinadamu yale maazimio tuliyosaini yatawabana watakaotekeleza huu ujinga.
Juzi kawaponza trafiki wawili.
Hajakataza wasisome bali wasisome kwenye shule za umma. Kumbuka kuna private schools veta n.kAtakayefanya kama alivyosema RAIS atakuwa MZAZI mpumbavu.Kuna shule za private,kama anauwezo ampeleke mtoto wake private.
Huu ujinga ati mtoto sababu amepata Mimba asisome aupeleke Lumumba na Chato
Kabla ya magufuli taifa lilikuwaje? Kwa sab hii sheria ipo tokea Uhuru Tanzania bara haijawahi kuruhusu wanafunzi waliopata ujauzito kuendelea na masomo waliofanya hivyo ni kwa ujanja ujanja tu.Kuna binti alipata ujauzito akiwa form 2 miaka ya nyuma kidogo.. akajifungua salama mtoto akawa mwaka moja kasoro wazazi wake wakapambana akarudi shule.. leo hii ni Mwalimu mshahara analipwa na anawasaidia watu wengine wakiwemo wazazi wake na serikali inakata kodi kama kawaida
Magu kwa upande wa vision hamna kabisa anajenga taifa la omba omba
Naona hata mtoto wako wa kike akipata mimba shuleni utafurahi sana kwa kupata mjukuu shuleniWewe ndo unavuruga mada mkuu.
Serikali inawajibu wa kuhakikisha watu wote wanapata frusa sawa Na za kutosha kuwawezesha kupata elimu.
Ndio mana inakusanya kodi inajenga bajeti,inajenga shule, inaajiri walimu,inatunga sera Na mitaala,inaandaa vitabu,inatunga mitihani ya kitaifa,inatoa vyeti,inatoa ajira n.k
Wenye uwezo siku zote huwa hawana ugomvi Na serikali mana watoto wao wanasoma IST,FEZA n.k
Haki inayodaiwa hapa Ni ya wanaotegemea elimu bure/elimu bila malipo watoto wa mtanzania maskini!!!
Mayatima,waliotelekezwa Na kuachwa bila uangalizi katika jamii!!!!
wewe si popoYuko sawa sana
you are praying alone...Rais kanena haki na kweli kwa mujibu Wa sheria na sio kwa hisia zake...big up Mr President keep it up...we pray for you
Mkuu kuna suala la maadili mema kwa wanafunzi wa kike. Ni kulea uhuni na umalaya shuleni ikiwa mwalimu ambaye ni mwanamama anafundisha ubaoni halafu huku kwenye madawati kuna wasichana watatu ambao wananyonyesha watoto nyumbani.Angekuwa Ni binti yake angefanyaje, hiyo ni kumkomoa nani kumnyima huyu binti elimu? Sio kumwangamiza yeye na huyo Mwanaye na Kumfanya Mzigo wa Kudumu kwa Familia na Kwa Taifa?
Je ni waalimu, Madaktari wangapi, Viongozi wangapi wa kitaifa walipata mimba wakiwa wanafunzi na Bado wakaendelea na Masomo na sasa ni msaada kwao kwa familia na Taifa!
Mbaya zaidi hii kauli ya Kiburi na kijinga, ati sitasomesha "wazazi" ni kauli ya kiburi kanakwamba fedha za Serikali zitumikazo kwa ajili ya Elimu ni Ruzuku kutoka kwa Mama yake Magufuli au pesa zake za biashara ya sangara! Hana unyenyekevu wa kuona kuwa ni fedha za Walopa kodi wakiwemo wazazi wa hao mabinti, au kama sio kodi basi zinatokana na Raslimaliza taifa au mikopo ambayo jasho za kuilipa litatokana na Watanzania wakiwemo wazazi wa hawa mabinti.
Nilishasema Magufuli na Makonda akili zao zinafanana! Kama atabisha nitashangaa sana sio kidogo!
Hapo kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
Hapo kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
Mkuu kuna suala la maadili mema kwa wanafunzi wa kike. Ni kulea uhuni na umalaya shuleni ikiwa mwalimu ambaye ni mwanamama anafundisha ubaoni halafu huku kwenye madawati kuna wasichana watatu ambao wananyonyesha watoto nyumbani.
Hao wasichana watatu hawawezi kumpa heshima yule mwalimu mwanamama kwa sababu ya zile akili za kusema "huyu si ni mwanamke mzazi kama sisi?". Hakuna heshima katika mazingira ya aina hiyo, na pia hakuna utii wa mkubwa kwa mdogo.
Bila ya uwepo wa utii kutoka kwa hao watatu sidhani kama hao wasichana wengine watamheshimu huyo mwalimu mwanamama.
Waende wakasome VETA, waende shule za private, waende kokote kule, lengo ni lile lile, la kurudisha heshima ya elimu.
Mkuu bila adhabu tulizopewa utotoni pengine tusingekuwa ni watu tuliokuja kuwa na heshima utu uzimani...lakini hata huko unakopendekeza wapelekwe kuna waalimu wa kike vilevile.
..au veta nako hakuna wanafunzi ambao hawajapata ujauzito wanaoweza kuwa influenced na hao waliozaa?
..tumejielekeza zaidi kwenye kuadhibu kuliko kuzuia tatizo la mimba mashuleni.
..matatizo haya kuna uwezekano yakatuzidi nguvu na maarifa.
Uelewa wako umeishia hapo ili uelewe ninachomaanisha mpaka uvue hiyo hirizi ama uzaliwe upya uje Na akili mpya hizo za kushikiwa hutonielewa kabisa!!!Naona hata mtoto wako wa kike akipata mimba shuleni utafurahi sana kwa kupata mjukuu shuleni
Siungi mtoto kupata mimba akiwa sio shuleni tu bali hata kabla ya ndoa, kuna vitu vingine vinaweza mtokea kutokana na mazingira akajipata katika hali asiyotarajia acha ulimbukeni, We huna mtoto, ungekua na mtoto usingeongea upuuzi wa namna hii, kuzaa hakumuondolei msichana akili darasani.tumeoa na tuna watoto , wengi mnaopinga hii kauli inaonesha ni wazinzi sana na mnampango wenu ni kuchochea uzinzi mashuleni.
huku wanafunzi watakaa wakijua wakipata tu bahati mbaya wanaleta mtoto kwa bibi afu anarudi shule kama kawa.
tumuunge mheshimiwa watoto waogope kuvuliavulia chpi wanaume waangalie masomo.
Mkuu bila adhabu tulizopewa utotoni pengine tusingekuwa ni watu tuliokuja kuwa na heshima utu uzimani.
Ukiondoa zile cases za binti kubakwa ambazo ni chache, nyingine zote ni zile za msichana au mvulana kwa utashi wao wenyewe kuingia kwenye mapenzi wakiwa mashuleni.
Hawa ni lazima watishwe kwa kuambiwa kwamba wanafanya starehe na wapenzi wao kwa gharama ya kuwa tayari kupoteza nafasi ya elimu bure.
Huwezi kuwa na elimu bure halafu yule anayepewa bure aamue kutoiheshimu kwa kuendekeza umalaya shuleni.