Mbakaji anafungwa, na mwanafunzi kama akipata ujauzito katika saga hilo la kubakwa anaadhibiwa kwa kutokurudishwa shule.!!!Haijalishi sheria ipo kwa mbakaji ni miaka 30 jela.!
Magufuli hajui kuremba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anatoa makavu bila chenga.!Hata mbuzi hawakosei ile sehemu, nimeipenda hii!
Kwa hiyo wanaopinga kauli ya Mkuu ni wahusika wa uvunjaji wa sheria.?Mashoga na wanaobaka vibinti vya shule ndiyo wanachukia hatua zote hizi anazozichukua rais Dr. Magufuli.
Ila mwanaume, aliyetimamu na anakula "K" ya mwanamke aliyetimiza umri wa kuolewa na asiye mwanafunzi wa shule za sekondari na za msingi hana tatizo kabisa na kauli kama hiyo.
Tangu zamani mwanafunzi akipata ujauzito alikuwa akikatisha masomo. Sasa leo kusemwa na JPM ndiyo inakuwa isdue? Au wewe una mimba tayari?Huyu jamaa aandikiwe hotuba, kumnyima mtu elimu ni kumkatalia haki yake ya kibinadamu yale maazimio tuliyosaini yatawabana watakaotekeleza huu ujinga.
Juzi kawaponza trafiki wawili.
Kasema bahati mbaya au kwa kupenda hakuna[emoji56][emoji56][emoji83][emoji83][emoji83]Inakuwaje pale Binti mwanafunzi akapata mimba baada ya kubakwa!!
Kuna binti alipata ujauzito akiwa form 2 miaka ya nyuma kidogo.. akajifungua salama mtoto akawa mwaka moja kasoro wazazi wake wakapambana akarudi shule.. leo hii ni Mwalimu mshahara analipwa na anawasaidia watu wengine wakiwemo wazazi wake na serikali inakata kodi kama kawaida
Magu kwa upande wa vision hamna kabisa anajenga taifa la omba omba
Since time in memorial wanafunzi wa kike wamekuwa wakipata mimba na baadhi yako kupata nafasi ya kuendelea na masomo. Wako ambao hupata mimba kutokana na maadili mabovu. Wako ambao hubakwa. Wako ambao hudanganywa na wanaume washenzi. Lakini pia wako wale viherehere. Kama kuna uwezekano wa kuwasomesha na wenyewe wako radhi kuendelea na masomo wasinyanyapaliwe.Habari wanaJF,
Leo akiwahutubia wakazi wa Bagamoyo, Mkoani Pwani. Rais Magufuli amesema hakuna Mwanafunzi aliyebeba ujauzito atakayerudi shule katika utawala wake. Akaongeza kuwa hawezi kufanya kazi ya kusomesha wazazi.
" Inaweza kufika kipindi darasa zima linawatoto, Mwalimu akifundisha wao wanatoka nje kwenda kunyonyesha".
Hata kama ni watoto wangu, yani nikupeleke shule alafu upate mimba nikurudishe? Aende akapate mimba aone kama nitamrudisha.
Mimi nimetoa fedha ili mwanafunzi asome bure, halafu leo mtu apate mimba arudi shule? Ndani ya utawala wangu, haitotokea.
Wakati mwingine ukizikiliza hizo NGOs zitakuwa zinalipeleka taifa pabaya. Ndani ya utawala wangu haitotokea. NEVER.
Hizi NGOs kama zinawapenda sana hao watoto zikafungue shule zao za kusomesha wazazi. Serikali haiwezi kuwasomesha.
Hawa wanaotuletea haya mambo hawatupendi ndugu zangu. Wametuletea dawa za kulevya, wameleta ushoga ambao hata ng'ombe hawana.
Huku kuiga iga tutakuja kuiga mambo ambayo hata hayafai. Wanakuja na misaada ambayo ni mali zetu wametuibia.
Nyie wafugaji mmefuga lakini hamjawahi kuona hata mbuzi au nguruwe amekosea huu mchezo. Lakini wao wanataka Watanzania wakosee.
Wakati huo huo, Rais amesema kuwa anawaomba msichukue maeneo ya Magereza, hata mimi nikifungwa siku moja nipate sehemu ya kulima.
Rais Magufuli ametoa eneo la ekari 65 kwa wananchi lililokuwa na mgogoro kati yao na Jeshi la Magereza.
Kwa hiyo wanaopinga kauli ya Mkuu ni wahusika wa uvunjaji wa sheria.?
100% nakubaliana na pombe joseph, swala la mimba mashuleni likiachwa kama hizi NGOs zinataka hakika wanafunzi watakua wanamaliza std 7 nusu wana vibenditujifunze na sisi kuwa na mambo yetu, na viwango vyetu vya maadili ambavyo tunavisimamia.
NGO na wafadhili wake ambao wengi ni wazungu wasilazimishe kuleta mambo ambayo sisi hatujaona maana yake.