AirTanzania
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 1,139
- 1,036
Shule wanaenda kusoma au kugegedana?mmmh kinachofwata kutakuwa na ongezeko kubwa la watoaji mimba.
Only Tanzania huu upuuzi ndio upo, halafu mnataka nchi iendelee ikiwa mnawanyima watoto wa kike Elimu kwa kisingizio cha kipuuzi, eti mimba.Happens only in Tz
Mwambie Lissu akutetee basiWananchi kumsifia sana kumempa kiburi siku hizi anatema ugoro.
Yaani kafananisha wadada wenye mimba na mashoga? Alafu anajua vizuri akishaleta neno ushoga kwenye jamii ya watanzania atapewa pongezi kubwa maana sijawahi ona watu homophobic kama wabongo.
NGOs anazionea tu, NGO haikufanyi shoga, labda angeongelea sababu nyingine. Kama mtu aliye juu namna hii kichwa kipo hivi basi njia bado ni ndefu zaidi ya tunavyofikiria.
I'm so done with this guy, ana mdomo mbaya sijawahi pata kuona.
Inakuwaje pale Binti mwanafunzi akapata mimba baada ya kubakwa!!
Kama kawaida ya mzee wa visasi, hivi hajui kuna watu wana chukua masters na tayari wana watoto wenye watoto.
Elimu ni haki ya kila mtu, hata kama mtoto wa sekondari kapata mimba haimaanishi hiyo haki yake inapotea, aendelezwe baadaye aje kuokoa mtoto sio kukaa anaongeza idadi ya wajinga wasio na kazi. Midingi yenye phd feki ndo haiwezi kuliona hili. Tz won't be saved by this guy, he's a joke.
Msingi na sekondari tu.Wachuo pia wamo man?
Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
haki inamipaka na wajibu!Kama kawaida ya mzee wa visasi, hivi hajui kuna watu wana chukua masters na tayari wana watoto wenye watoto.
Elimu ni haki ya kila mtu, hata kama mtoto wa sekondari kapata mimba haimaanishi hiyo haki yake inapotea, aendelezwe baadaye aje kuokoa mtoto sio kukaa anaongeza idadi ya wajinga wasio na kazi. Midingi yenye phd feki ndo haiwezi kuliona hili. Tz won't be saved by this guy, he's a joke.
Du Kiongozi ina maana Nyani ana uhusiano na upinde wa mvua? Du !!!!kagusa upinde wa mvua umeibuka kama mende kapuliziwa dawa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama maadili yenyewe ni hovyo kama kuzuia watoto w maskini wasipate elimu kwa faida yao hata baada ya kujifungua, hamna haja ya kuwa maadili "yetu"" maana wewe na rais wako hamtapata chochote iwapo hivyo visichana vitasoma au havitasomatujifunze na sisi kuwa na mambo yetu, na viwango vyetu vya maadili ambavyo tunavisimamia.
NGO na wafadhili wake ambao wengi ni wazungu wasilazimishe kuleta mambo ambayo sisi hatujaona maana yake.
Inakuwaje pale Binti mwanafunzi akapata mimba baada ya kubakwa!!
Usifikirie chini ya unyayo wako. Haya mambo ni mapana zaidi ya unavyofikiri.Kwahiyo ungekuwa wewe ungeruhusu tu wanafunzi wapate mimba mashuleni?
Utakuwa ulipata mimba shuleni wewe.
Kumbe akili yako huko ndipo inapowaza , kwamba uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mada umeishia hapo?Kwani kuna tafauti gani kumfundisha mwanafunzi mzazi na mwanafunzi wakawaida?
Kwani kuna tatizo gani mwanafunzi mzazi kumuomba mwalimu ruksa kwenda kumyonyesha mtoto wake? au serikali itapungukiwa nanini katika mpango wake wa elimu bure? Je hao wanafunzi wazazi ikiwa niwazuri kwa masomo ya sayansi nahesabu, watakapo fukuzwa lengo la taifa kufanikisha kupata mainjinyia, madokta na wahasibu ambae ni wachache litafanikiwa? Mbona ulaya na marekani mambo hayapo hivyo?
ukiwalegezea darasa lote wasichana unakuta ni wamama,mmmh kinachofwata kutakuwa na ongezeko kubwa la watoaji mimba.