Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Daaah jamaa ana mdomo nchafu huyu sijapata kuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko sahihi 100% ...hii itawafanya watoto wa kike wajitambue sio kugawagawa tu.....wazae...warudi shule mtoto kakuaKama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
Hujamuelewa mkuu, hapa anamaanisha kuwa kama mtu anapesa yake aende private lakini siyo serikali ikusomeshe bure halafu ulete ujinga, nchi hii inawatoto wengi Wanaotaka kusoma.Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
HahahaTangu zamani mwanafunzi akipata ujauzito alikuwa akikatisha masomo. Sasa leo kusemwa na JPM ndiyo inakuwa isdue? Au wewe una mimba tayari?
Usisahau mume wake aliwahi kusema ni kutokana na kiherehere chao.ushindi kwa mama salma kikwete....alianza kupinga hilo bungeni!!
Ndiyo maana yake, hujasikia anasema Ole wake aliyempa mimba.Huyu mzee sijui anawazaga nini kabla ya kuongea. Na wanaowapa ujauzito wasisomeshwe basi.
Mtakatifu huwa hapotoki na unatakiwa kukubaliana naye katika kila jambo!Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!