Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

Kama kawaida ya mzee wa visasi, hivi hajui kuna watu wana chukua masters na tayari wana watoto wenye watoto.

Elimu ni haki ya kila mtu, hata kama mtoto wa sekondari kapata mimba haimaanishi hiyo haki yake inapotea, aendelezwe baadaye aje kuokoa mtoto sio kukaa anaongeza idadi ya wajinga wasio na kazi. Midingi yenye phd feki ndo haiwezi kuliona hili. Tz won't be saved by this guy, he's a joke.
Next hata chakula watanyimwa. Hivi hela wanayosomeshewa si kodi zetu tu.
 
Prospilla kama utafiti wako umekupa majibu kuwa ni wasichana wachache wa shule wanaopewa mimba na wanafunzi wenzao,its debatable ,sasa nije kwenye wazo lako kuwa wengi wao wanapewa mimba na wasio wanafunzi wenzao,

je nini kinafanyika kwa hao wahusika?they just escorted free wakarudie tena kuwapa mimba wanafunzi wengine,my point ni kuwa kila mtoto lazima awe na equal opportunity to live their dream,hutuwezi tukawa tunamwadhibu mtoto wa kike ambao wengi wao wanapata mimba kutokana na sababu nyingi mno hasa umasikini katika familia zetu,wenzetu wameweza hili na halina athari yeyote ,they deserve second chance ya kutengeneza maisha yao.
 
Nitajitahidi kwa uwezo wangu wote watoto wangu wa kiume na wa kike wasijiingize kwenye ngono wakiwa shuleni. Lakini pale itakapotokea na mtoto akapatikana sitawanyima kuendelea na masomo.
Two wrongs can never make a right.
 
Tangu zamani mwanafunzi akipata ujauzito alikuwa akikatisha masomo. Sasa leo kusemwa na JPM ndiyo inakuwa isdue? Au wewe una mimba tayari?
Mwanzo ilikua baada ya kujifungua huyu mtu anaweza kuendelea na masomo.
Kama yupo mwaka wa mtihani hua anakuja kufanya mtihani huku ana mimba.

Uache ujinga wa kuandika vitu kishabiki.
 
Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.

Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.

Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
Raisi anapinga sera ya elimu na mafunzo ya 2014 yenye Madhumuni ni kujenga usawa wa kijinsia kupitia elimu bora itolewayo bure kama haki ya kila binadamu. Sijui anakwenda wapi?
 
hii ni sheria ambayo nikipewa urais wa siku moja pale magogoni nitaifuta kabla ya lunch time,all girls rukusa kuendela na masomo baada ya kuzaa,kwanza imejidhihirisha kuwa kuwa fukuza shule kumepunguza mimba mashuleni,ndio kwanza zinaongezeka
 
Nakubaliana na Mr President, heko mkuu ipo siku watu flani watakuelewa unachotaka
 
Watoto wetu wana bahati mbaya na marais wetu. Mmoja alisema wana 'kiherehere', mwingine anasema hasomeshi 'wazazi'.
Waambieni na wafundisheni waanze huo mchezo mtamu wakishafiak chuo kikuu. Isitoshe NGOs zinaruhusiwa kuwasomesha private.
 
Prospilla kama utafiti wako umekupa majibu kuwa ni wasichana wachache wa shule wanaopewa mimba na wanafunzi wenzao,its debatable ,sasa nije kwenye wazo lako kuwa wengi wao wanapewa mimba na wasio wanafunzi wenzao,je nini kinafanyika kwa hao wahusika?they just escorted free wakarudie tena kuwapa mimba wanafunzi wengine,my point ni kuwa kila mtoto lazima awe na equal opportunity to live their dream,hutuwezi tukawa tunamwadhibu mtoto wa kike ambao wengi wao wanapata mimba kutokana na sababu nyingi mno hasa umasikini katika familia zetu,wenzetu wameweza hili na halina athari yeyote ,they deserve second chance ya kutengeneza maisha yao.
Mkuu kweli unataka kusema hujui nini kinawapata hao wanaowapa mimba wanafunzi?

Pia unahisi faida itakayopatikana baada ya kuruhusu hao wanafunzi kurudi shule inaweza kufidia madhara yanayoweza kujitokeza kutokana na hilo

Hiyo ni adhabu tu kupunguza vitu kama hivo kuzidi kutokea mara kwa mara
 
Amesema ushoga basi.
Au kwa lugha ingine dawa yenu inachemka ikiisha wiva mtainywa bila ganzi wala vipimo.

Hata Kibiti alisema hivyohivyo kesho yake watu wakafanya yao.

Ushoga hautaisha bongo kamwe as long as ulikuwepo tangu sodoma na gomora na watu wanazidi kuupenda mchezo huo
 
Lakini huo mtazamo wa Magu ni mtazamo wa watu wengi pia.

Wewe subiri tu uone maoni ya watu humu....utashangaa!!

Binafsi nime mwelewa magu, topic hii inawahusu watu ambao kimtazamo na fikra zao zinakuwa bado hazijajua madhara ya sex before age. Ukisema public kwamba" ruksa"concetration ya masomo na miiko yake kwa watoto wa shule inapungua, hawatakuwa waoga kufanya sex, ili hali mimba Itakuwa bahati mbaya kazini, kwa matumaini ya kusonga mbele badae.

Kauli kama hii ni mwafaka kabisa kwa watoto wetu, wawe waoga kwenye kufanya ngono kijinga kijinga. Na wazazi tuwe macho katika malezi na ushauri Kwa watoto wetu.
 
Back
Top Bottom