Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
ukiwalegezea darasa lote wasichana unakuta ni wamama,mmmh kinachofwata kutakuwa na ongezeko kubwa la watoaji mimba.
magufuli yuko sawa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiwalegezea darasa lote wasichana unakuta ni wamama,mmmh kinachofwata kutakuwa na ongezeko kubwa la watoaji mimba.
Kupatwa kwa Tanzania yangu. 2020 is very far away from home. A million miles from homeJamani ee.Mhishimiwa akishasema ndio msimamo wa serikali.
Next hata chakula watanyimwa. Hivi hela wanayosomeshewa si kodi zetu tu.Kama kawaida ya mzee wa visasi, hivi hajui kuna watu wana chukua masters na tayari wana watoto wenye watoto.
Elimu ni haki ya kila mtu, hata kama mtoto wa sekondari kapata mimba haimaanishi hiyo haki yake inapotea, aendelezwe baadaye aje kuokoa mtoto sio kukaa anaongeza idadi ya wajinga wasio na kazi. Midingi yenye phd feki ndo haiwezi kuliona hili. Tz won't be saved by this guy, he's a joke.
ukiwalegezea darasa lote wasichana unakuta ni wamama,mmmh kinachofwata kutakuwa na ongezeko kubwa la watoaji mimba.
Mwanzo ilikua baada ya kujifungua huyu mtu anaweza kuendelea na masomo.Tangu zamani mwanafunzi akipata ujauzito alikuwa akikatisha masomo. Sasa leo kusemwa na JPM ndiyo inakuwa isdue? Au wewe una mimba tayari?
Raisi anapinga sera ya elimu na mafunzo ya 2014 yenye Madhumuni ni kujenga usawa wa kijinsia kupitia elimu bora itolewayo bure kama haki ya kila binadamu. Sijui anakwenda wapi?Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
Waambieni na wafundisheni waanze huo mchezo mtamu wakishafiak chuo kikuu. Isitoshe NGOs zinaruhusiwa kuwasomesha private.Watoto wetu wana bahati mbaya na marais wetu. Mmoja alisema wana 'kiherehere', mwingine anasema hasomeshi 'wazazi'.
Mkuu kweli unataka kusema hujui nini kinawapata hao wanaowapa mimba wanafunzi?Prospilla kama utafiti wako umekupa majibu kuwa ni wasichana wachache wa shule wanaopewa mimba na wanafunzi wenzao,its debatable ,sasa nije kwenye wazo lako kuwa wengi wao wanapewa mimba na wasio wanafunzi wenzao,je nini kinafanyika kwa hao wahusika?they just escorted free wakarudie tena kuwapa mimba wanafunzi wengine,my point ni kuwa kila mtoto lazima awe na equal opportunity to live their dream,hutuwezi tukawa tunamwadhibu mtoto wa kike ambao wengi wao wanapata mimba kutokana na sababu nyingi mno hasa umasikini katika familia zetu,wenzetu wameweza hili na halina athari yeyote ,they deserve second chance ya kutengeneza maisha yao.
Amesema ushoga basi.
Au kwa lugha ingine dawa yenu inachemka ikiisha wiva mtainywa bila ganzi wala vipimo.
Lakini huo mtazamo wa Magu ni mtazamo wa watu wengi pia.
Wewe subiri tu uone maoni ya watu humu....utashangaa!!
Kila akiombewa ndo anazidi kuchanganyikiwaAombewe tu jaman