pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Wengi wanaounga mkono hii kauli bila shaka hawajaoa na kuwa na watoto.Mkuu kwani wewe ni mgumba??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wanaounga mkono hii kauli bila shaka hawajaoa na kuwa na watoto.Mkuu kwani wewe ni mgumba??
tumeoa na tuna watoto , wengi mnaopinga hii kauli inaonesha ni wazinzi sana na mnampango wenu ni kuchochea uzinzi mashuleni.Wengi wanaounga mkono hii kauli bila shaka hawajaoa na kuwa na watoto.
Katika hili naunga mkono mtazamo wa Mkuu kwani ametoa pia alternative solution kuwa kuna elimu mbadala ambayo anaweza kufuata kama kuelekea VETA, QT nk. kimsingi hataki kuhalalisha hilo ili na wengine waone ni kawaida. kwa wanaobakwa ni muhimu watendaji na jamii kuangalia namna ya kuliondoa tatizo la ubakaji na tayari adhabu yake ni miaka 30 inajulikana....Wengine wanahoji wale wanaowapa mimba hawajaguswa ...la hasha amesema wanaowapa mimba wawe ndani ya shule au nje ya shule adhabu yao ni miaka 30 iko wazi. Tatizo umma unataka kulifanya suala la mimba kwa wanafunzi liwe la kawaida...hapana litamomonyoa maadili na kuchangia kuongeza vifo vya wazazi nk.
Yaani, jinsi anvyosema utafikiri anatufanyia favor Watanzania!!Kama alibakwa akapata mimba inakuwaje?
Habari wanaJF,
Leo akiwahutubia wakazi wa Bagamoyo, Mkoani Pwani. Rais Magufuli amesema hakuna Mwanafunzi aliyebeba ujauzito atakayerudi shule katika utawala wake. Akaongeza kuwa hawezi kufanya kazi ya kusomesha wazazi.
" Inaweza kufika kipindi darasa zima linawatoto, Mwalimu akifundisha wao wanatoka nje kwenda kunyonyesha".
Hata kama ni watoto wangu, yani nikupeleke shule alafu upate mimba nikurudishe? Aende akapate mimba aone kama nitamrudisha.
Mimi nimetoa fedha ili mwanafunzi asome bure, halafu leo mtu apate mimba arudi shule? Ndani ya utawala wangu, haitotokea.
Wakati mwingine ukizikiliza hizo NGOs zitakuwa zinalipeleka taifa pabaya. Ndani ya utawala wangu haitotokea. NEVER.
Hizi NGOs kama zinawapenda sana hao watoto zikafungue shule zao za kusomesha wazazi. Serikali haiwezi kuwasomesha.
Hawa wanaotuletea haya mambo hawatupendi ndugu zangu. Wametuletea dawa za kulevya, wameleta ushoga ambao hata ng'ombe hawana.
Huku kuiga iga tutakuja kuiga mambo ambayo hata hayafai. Wanakuja na misaada ambayo ni mali zetu wametuibia.
Nyie wafugaji mmefuga lakini hamjawahi kuona hata mbuzi au nguruwe amekosea huu mchezo. Lakini wao wanataka Watanzania wakosee.
Wakati huo huo, Rais amesema kuwa anawaomba msichukue maeneo ya Magereza, hata mimi nikifungwa siku moja nipate sehemu ya kulima.
Rais Magufuli ametoa eneo la ekari 65 kwa wananchi lililokuwa na mgogoro kati yao na Jeshi la Magereza.
Hawa wanaompinga wao wanasema tu haki ya mwanafunzi kusoma bila kusema wajibu wake ni nini.tumeoa na tuna watoto , wengi mnaopinga hii kauli inaonesha ni wazinzi sana na mnampango wenu ni kuchochea uzinzi mashuleni.
huku wanafunzi watakaa wakijua wakipata tu bahati mbaya wanaleta mtoto kwa bibi afu anarudi shule kama kawa.
tumuunge mheshimiwa watoto waogope kuvuliavulia chpi wanaume waangalie masomo.
Hapo kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
hayaAttack the message not the messenger.