Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Sijui ni mimi tu nina waza mambo mengi sijui ni mchana umeingia njaa imeanza nishika sijui mawazo ya mshahara

Kwa kipindi kingi hua nikimsikiliza akiwa anahutubia hua anaongea mambo yale yale ya siku zote

Ila hotuba inaendelea......
Yani ni kama CD iko kwenye repeat mode halafu inascrach
 
Mwandikie cha kuzungumza umpelekee!
Sasa namwandikia kivipi? Wakati anaowatu wa kumwandikia wanatakiwa wamfikishie ujumbe mzee hizo ngonjera zako sasa hivi watu washazikariri kiasi kwamba hawakusikilizi
 
Hakuna anayekataa criticism, ila namna ambavyo hawa ndugu wanafanya hiyo criticism ndipo utata unapozuka kila mara, kibaya zaidi kwao hakuna hata moja jema, hilo ni tatizo.
 
Mkuu hilo linawezekana kwa tabia ya "chasifa" profesa Qorro akapike pilau barua inakuja muda mfupi ujao
 
Ni kweli kabisa, tatizo ni moja tu! anaminya demokrasia.. akirekebisha hapo atakuwa raisi wa kuigwa kuwahi kutokea barani Afrika. ViVA JPM
some you win , some you lose.

Demokrasia inayozungumziwa , ni ule uhuru wa wanasiasa kufanya yale waliyokuwa wakiyafanya hapo awali, na mengi hayakuwa kwa faida ya wananchi.

Wanasiasa na mafisadi ndio wanaopiga sana kelele.

Wenye nchi " wananchi" wanamuunga mkono Rais wao.
 
Ataongelea miradi yote aliyoifanya lakini mradi wa international airport ya chato lazima aulie gundi tu sijui anahofia nini sasa.
Hajapewa taarifa kuhusu ujenzi wa uwanjani huo hivyo haufahamu.
 
Leo Mh Rais amesema anatamani kumteua Prof Lipumba kwenye serikali yake.

Je unahisi Lipumba ataula na kama akiteuliwa unahisi atapewa wadhifa gani
 
Alikuwa hajapanga cha kuongea raisi wetu...angejipanga sijui ingekuwaje sasa
 
Hakuna anayekataa criticism, ila namna ambavyo hawa ndugu wanafanya hiyo criticism ndipo utata unapozuka kila mara, kibaya zaidi kwao hakuna hata moja jema, hilo ni tatizo.
Hivi mtu aliyeomba kutumikia umma, anataka asifiwe ili iweje?? Cheo ni dhamana.
 
Sijui ni mimi tu nina waza mambo mengi sijui ni mchana umeingia njaa imeanza nishika sijui mawazo ya mshahara

Kwa kipindi kingi hua nikimsikiliza akiwa anahutubia hua anaongea mambo yale yale ya siku zote

Ila hotuba inaendelea......
Unataka aongee ambayo hayapo?
 
Hivi mtu aliyeomba kutumikia umma, anataka asifiwe ili iweje?? Cheo ni dhamana.
sasa kuwapa wananchi feedback ni kupenda kusifiwa,

Tatizo kuna watu hawataki kabisa kusikia serikali inafanya mambo mazuri,

Kwani ikifanya vibaya ndipo hupata cha kuzungumza, ni mtaji wao.
 
Maprofesa njaa pumbavu zao
 
sasa kuwapa wananchi feedback ni kupenda kusifiwa,

Tatizo kuna watu hawataki kabisa kusikia serikali inafanya mambo mazuri,

Kwani ikifanya vibaya ndipo hupata cha kuzungumza, ni mtaji wao.
Msikilize kwanza mkuu bado anatoa feedback, na anashangiliwa kweli kama kongamano lilivyotarajiwa kuwa.
 
Stroke may it be as your name[emoji2357]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…