Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Rais Magufuli" nimeteua sana vijana, nimeteua sana wakina mama na siku hizi kila ukiteua wamama ni hawala yako, " wahudhuriaji kicheko
 
Hii ya kuzalisha Umeme ili kumpunguzia mwananchi gharama ni uongo sana tena sitaki kusikia. Gas walisema hivyo hivyo.
 
Rais Magufuli: Wengine wanasema sijui Kiingereza! Sasa sijui nilipitaje kwenye maandiko yangu ya chuo. Sijui nchi gani sijaenda

Nilikuwa Mwenyekiti wa Mawaziri kwenye Mkutano kule Vancouver - Canada, asa sijui niliendeshaje vikao.
Ahaah he made my day
 
No 3.wacha colonial mentality.ficha uchi wako.unadharau kiswahili na kutukuza kiingereza?maendeleo hayaletwi kwa kuzungumza kiiingereza.
 
Hivi ni mimi kuwa negative na Magu au nini. Mbona naona chenga tu. Raper at work kumuelewa ni shida
 
Wewe ni mjinga!
Sasa utakuwa unakula hicho kingereza? Hizo nchi nyingine zilizoendelea zinatumia kingereza?

Siku ukifa utaenda kumwuliza Baba wa Taifa kwanini alisitiza Watanzania wajifunze Kiingereza. Tatizo lako na wajinga wenzake mmemambkizwa kaugonjwa kanaitwa Magufulism.....!!!Jiulize kwanini awamu zingine za kina Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawakuwa wanasisitiza Kiswahili?Awaamu hii kuna shida gani?
 
Rais Magufuli: Wengine wanasema sijui Kiingereza! Sasa sijui nilipitaje kwenye maandiko yangu ya chuo. Sijui nchi gani sijaenda

Nilikuwa Mwenyekiti wa Mawaziri kwenye Mkutano kule Vancouver - Canada, asa sijui niliendeshaje vikao.
Tupia zile clips anaongea broken English anadhani tunamtuhumu bila ushaidi?
 
Rais Magufuli: Wengine wanasema sijui Kiingereza! Sasa sijui nilipitaje kwenye maandiko yangu ya chuo. Sijui nchi gani sijaenda

Nilikuwa Mwenyekiti wa Mawaziri kwenye Mkutano kule Vancouver - Canada, asa sijui niliendeshaje vikao.
Kama aliandikiwa je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…