Tatizo siyo English ila ni udikteta wakeIwe mwisho kusema JIWE hajui kingereza, ole nimsikie mtu anamponda nitarara nae mbere...
Ukweli utabaki pale pale tu.....Iwe mwisho kusema JIWE hajui kingereza, ole nimsikie mtu anamponda nitarara nae mbere...
Na sisi tutalala na wewe "NYUMA"Iwe mwisho kusema JIWE hajui kingereza, ole nimsikie mtu anamponda nitarara nae mbere...
mkuu polepole eboh!Na sisi tutalala na wewe "NYUMA"
unapotosha makusudi kw faida ya nani??mbona umetumia hisia zaidi kuliko ubongo ku synthesis hiyo kauli nyepesi???nawachukia wanaopongeza kila kitu na wanaoponda kila kitu,hiyo kauli ya mheshimiwa sidhani kama inauhusiano na kufuta bunge,hangaisha ubongo kuchanganua mamboAmesema hawezi kutenga fedha kwa ajili ya katiba mpya na kwamba ni kula pesa bure ambazo angezitumia kujenga standard gauge railway line. Kwa kauli hii na kama angekuwa na uwezo angefutilia bunge la Tanzania ili apate pesa za kujenga standard gauge!!!
hata ww mwenyewe ninauhakika hujaielewa hii comment yako,hebu andika vzuri tuelewe wazo lako mkuuKatiba mpya ndio itakayo leta maendeo zaidi ya hio train, hii nchi pia ni train inahitaji katiba mpya,
Wakati ukifika utaelewa tu..hata ww mwenyewe ninauhakika hujaielewa hii comment yako,hebu andika vzuri tuelewe wazo lako mkuu
mleta mada hajakosea. kwani nani anapanga mipango ya nchi ni rais au bunge?? kwanini ajipe mamlaka ya kupanga bajeti na mipango ya nchi?? kama wawakishi wetu wakiona ni vema kuwa na bunge la katiba yeye ni nani hata azuie?? hapo ndio utajua kwanini mleta mada kawaza hivyounapotosha makusudi kw faida ya nani??mbona umetumia hisia zaidi kuliko ubongo ku synthesis hiyo kauli nyepesi???nawachukia wanaopongeza kila kitu na wanaoponda kila kitu,hiyo kauli ya mheshimiwa sidhani kama inauhusiano na kufuta bunge,hangaisha ubongo kuchanganua mambo
Tutafika lini?mleta mada hajakosea. kwani nani anapanga mipango ya nchi ni rais au bunge?? kwanini ajipe mamlaka ya kupanga bajeti na mipango ya nchi?? kama wawakishi wetu wakiona ni vema kuwa na bunge la katiba yeye ni nani hata azuie?? hapo ndio utajua kwanini mleta mada kawaza hivyo
Bongo lala kama wewe ni vigumu kubaini mambo yaliyo nyuma ya pazia!unapotosha makusudi kw faida ya nani??mbona umetumia hisia zaidi kuliko ubongo ku synthesis hiyo kauli nyepesi???nawachukia wanaopongeza kila kitu na wanaoponda kila kitu,hiyo kauli ya mheshimiwa sidhani kama inauhusiano na kufuta bunge,hangaisha ubongo kuchanganua mambo