Tang Zhou
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 1,206
- 2,591
Wadau,
Kwa maoni yangu, Nyerere alikuwa Rais Mahiri na hakusoma UDSM..
Mkapa vile vile..
Mwinyi sijui...
Jakaya alisoma UD lakini kilichomsaidia amudu majukumu ya Urais ni Ujanja wake tu wa mjini na kuijua dunia kivyake lakini siyo kutegemea skills za kitaaluma alizopata UDSM...ambazo kwa hakika hawana uwezo wa kumpatia!
Sasa....haiyumkiniki Chuo Kikuu kikae na mwanafunzi tangu degree ya Kwanza hadi PhD na mwanafunzi yule akahitimu bila kumudu lugha inayotumika kufundishia chuoni mle, kibaya zaidi mwanafunzi huyu kwa miaka mingi amekuwa kiongozi mwandamizi serikalini na sasa ni Mkuu wa Nchi; kama kweli Chuo Kikuu hiki kinachosifiwa kila mara na Mkuu wa nchi kinataka kulinda hadhi yake, basi kiache siasa na kijikite kwenye taaluma...kwa sasa siamini kama wanafunzi wengi watapenda kusoma PhD pale kwa sababu inaonekana wazi wanafunzi wanaopita pale ni half-baked!
So nasema, Chuo Kikuu Dar es Salaam hakiwezi kuwa bora kuzidi KIU kwa sababu chenyewe aibu yao inaonekana...kimetupatia Mkuu wa nchi PhD holder ambaye hawawezi kuwa na fahari naye kwa sababu hana confidence ya kisomi ya kutema kimombo bila kutahayari, na hasa pale unapokuwa kwenye kusanyiko la wasomi wenzio! Kama mambo ndo hivi, mimi mwanangu hasomi UDSM katu ng'o!