Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Iwe mwisho kusema JIWE hajui kingereza, ole nimsikie mtu anamponda nitarara nae mbere...
 
Kwanini watu wengi wasio na elimu kubwa Afrika siyo wapumbavu?Kwanini watu wenye elimu kubwa Afrika ni wapumbavu.
 
unapotosha makusudi kw faida ya nani??mbona umetumia hisia zaidi kuliko ubongo ku synthesis hiyo kauli nyepesi???nawachukia wanaopongeza kila kitu na wanaoponda kila kitu,hiyo kauli ya mheshimiwa sidhani kama inauhusiano na kufuta bunge,hangaisha ubongo kuchanganua mambo
 
Katiba mpya ndio itakayo leta maendeo zaidi ya hio train, hii nchi pia ni train inahitaji katiba mpya,
hata ww mwenyewe ninauhakika hujaielewa hii comment yako,hebu andika vzuri tuelewe wazo lako mkuu
 
Anaona katiba sio mwarobaini wa kila kitu kwasababu anajijua asivyoheshimu katiba ya Jamhuri?
 
mleta mada hajakosea. kwani nani anapanga mipango ya nchi ni rais au bunge?? kwanini ajipe mamlaka ya kupanga bajeti na mipango ya nchi?? kama wawakishi wetu wakiona ni vema kuwa na bunge la katiba yeye ni nani hata azuie?? hapo ndio utajua kwanini mleta mada kawaza hivyo
 
Tutafika lini?
 
Bongo lala kama wewe ni vigumu kubaini mambo yaliyo nyuma ya pazia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…