Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Wanaoangalia kupitia TBC wajiandae kisaikolojia kwa sababu matangazo yatakatwa pale wakosoaji wa kawaida wa sirikali watakapoanza kuchangia!!
 
Mchangiaji wa sasa hivi Prof. Kitila Mkumbo kwa kwelii anachoongea hutegemei kitoke kwake hotuba dhaifu sana isiyo na hoja za msingi kwenye platform kubwa kama hiyo na level yake ya elimu
 

Kongamano halijaisha ila namtangaza msifiaji bora ni Kitila. Najua hawezi tokea wa kumzidi.​
Mimi sio pinga pinga kitila mkumba ametendea haki nafasi aliyopewa

Anatema cheche na fact hata kama anampigania jiwe lakini amebase kwenye fact

Wote tunajua kitila ni product ya wapi yeye ni optimist na anaitumia hii golden chance ipasavyo sio sawa na wachumia tumbo waliotangulia
Imagini jiwe angewapa chance lissu na zitto et allll
 
Kwa aina ya uwasilishaji mpaka hivi sasa nina uhakika kabisa kwamba ama baada ya Kongamano kumalizika au ndani ya Wiki moja ijayo au hata Mwezi kama patatokea ' teuzi ' yoyote basi Profesa Martha Qorro safari hii ' ataula ' na naomba nianze Kumpongeza / Kumkongole mapema.
 
Hakuna anayeweza kusimama kinyume na anapokula.​
 
Hamna kitu hapo, mtu anayeona kutofautiana naye bora asiishi, hapo hamna kitu ni kujipendekeza kwa kwenda mbele
 
umewahi kukutana nao wapi hao maprofesa ?
Wamekufundisha kozi gani na mwaka gani?
 
Prof. Moshi kazingua sana.Kaimba mapambio mwanzo mwisho.Angalau huyo wa Geology naona anachambua mambo ipasavyo
mchaga anaangalia fursa.yule prof sijamuelewa kabisa zaidi ya kuomba kwenda ikulu kunywa juisi na rais
 
Msikilize tena bosi.
 
Wana mbwembwe hao wawapo darasani ila ona hapa wanavyojidharirisha mbele ya wanafunzi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…