Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

Naona waraka wa TEC umefanya mzee afunguke kidogo. Kwa ufupi waraka wa TEC na mh Rais wote wamekiri lipo tatizo hivyo dawa ni tusisitizane kujikinga badala ya wengine kudanganya tatizo halipo.

Mh Rais kasema tuendelee na nyungu na leo mimi na familia yangu tunaanza nyungu [emoji41]
 
Ahimidiwe Mungu Wa Magufuli,tumbo la mama yake li kheri,Mungu amzidishie miaka mingi yenye kheri .

Wanaotaka ishu za lockdown waanze kuzilock familia zao kwanza harafu watuletee mrejesho.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Duh. Huko Chato Kila baada ya Siku mbili kuna tukio la kitaifa?

Mwenye taarifa ya bei za viwanja ani inbox tafadhari.
njoo Tegeta Nyaishozi kama upo sireous..... vituo vituo vitatu vya daladala ukitokea Tegeta kwa Ndevu kama unaelekea Bunju....
 
Binafsi naamini hatua alizochukua JPM kuto kuiweka Nchi Quarantine ametazama athari za kiuchumi zaidi na hadi kufikia hapo naona yuko sawa kabisa.

Watanzania wengi Nchi ikiwa Quarantine watakufa njaa kabla hata ya Corona yenyewe.

Mjiulize ni Watanzania wangapi wenye Serving zitakazo wawezesha kula kulala pasipo kuingiza chochote kwenye akaunti zao kwa Miezi 6??

Me nadhani angetangaza tu kuwa we do have Covid19 version II since November 2020 lakini kila Mwananchi anapaswa kuchukua tahadhali wakati akiendelea na shughuli zake za kumwingizia kipato.

Vinginevyo Nchi Kama Nchi ibebe dhamana ya kulisha Raia wake for the good 6 Months wakati raia wakiwa wamejifungia majumbani mwao wakati tunaendelea kupambana na hiyo Corona. But najua Serikali haitaweza kwenye hilo.

Guys tuchukue tahadhali
 
Whites are dying, with all their pre-cautions still they are dying. Why ahould we copy their way of fighting COVID?
So our way is to declare to our people there is no corona!!
 
Whites are dying, with all their pre-cautions still they are dying. Why ahould we copy their way of fighting COVID?
Had it not been for their stringent precautions as you have put it, they would be dying in thousands or tens of thousands a day! That is the power of epidemiology (the branch of medicine which deals with the incidence, distribution, and possible control of diseases and other factors relating to health)!
 
Inabidi tuandike agano jipya, Watanzania ni taifa jipya la Mungu.
Kuna story moja niliwahi isikia eti Yule Simon aliyebebeshwa Msalaba wa Yesu wakati ule, kuna muda alipigwa na wale majamaa. Inavyosemekana alikimbilia Tanganyika na alifia huku huku.

So Nchi yetu imebarikiwa, pengine ndiyo maana Corona imeamua kutokutudhuru sana 🙌😝😝😝
 
Back
Top Bottom