Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tema mate chini Mkuu, hata kama kuna tiles.Magufuli Ni chaguo la Mungu
Hana Mungu 2000%Magufuli namkubali sana Mungu akulinde kiongozi wangu
heeeeNaona mbunge amesema "Chato ni nchi yetu sote" sasa tumemuelewa.
Collateral damage..Ili iwauwe wazungu wenyewe ?
Logic ni kitu muhimu sana.....
njoo Tegeta Nyaishozi kama upo sireous..... vituo vituo vitatu vya daladala ukitokea Tegeta kwa Ndevu kama unaelekea Bunju....Duh. Huko Chato Kila baada ya Siku mbili kuna tukio la kitaifa?
Mwenye taarifa ya bei za viwanja ani inbox tafadhari.
Whites are dying, with all their pre-cautions still they are dying. Why ahould we copy their way of fighting COVID?people are dying!
Kwani lazima ujitaje kuwa wewe ni ccm?Mimi ni CCM damu damu lakini lazima niseme ukweli kuwa huyu jamaa ni kichaa. Haiwezekani rais wa nchi anaongea mambo ya kipuuzi na mna hii tena ni Dr. ambaye nchi imetumia hela kumsomesha.
So our way is to declare to our people there is no corona!!Whites are dying, with all their pre-cautions still they are dying. Why ahould we copy their way of fighting COVID?
Jamaa yupo kama aliyekuwa msemaji wa iraqNa wasi wasi na uwezo wake kutambua mambo!
Inabidi tuandike agano jipya, Watanzania ni taifa jipya la Mungu.Corona dawa yake ni Mungu!!
YES IT IS.So our way is to declare to our people there is no corona!!
Had it not been for their stringent precautions as you have put it, they would be dying in thousands or tens of thousands a day! That is the power of epidemiology (the branch of medicine which deals with the incidence, distribution, and possible control of diseases and other factors relating to health)!Whites are dying, with all their pre-cautions still they are dying. Why ahould we copy their way of fighting COVID?
Kuna story moja niliwahi isikia eti Yule Simon aliyebebeshwa Msalaba wa Yesu wakati ule, kuna muda alipigwa na wale majamaa. Inavyosemekana alikimbilia Tanganyika na alifia huku huku.Inabidi tuandike agano jipya, Watanzania ni taifa jipya la Mungu.
Then we as a nation are stupid!YES IT IS.