Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

For sure they should do something. Hilo namuunga mkono. Kwa nini tunapenda faraja zisizo na maantiki? Anapoongea ukweli tuunge mkono ukwel tuache unafiki. Mtu ukuta au kibaraza kimebomoka naye anasubiri serikali ije kumjengea?hili taifa la wavivu sana. Basi tukiwa wavivu wa kazi tujitahidi tusiwe wavivu wa kufikiri.
 
Kwahiyo wanasiasa wengine wanaruhusiwa kurusha madongo ktk wakati huu ila yeye tu ndo haruhusiwi kuwajibu wanasiasa wakati huu?

..hajarushiwa madongo yoyote.

..ila naona kama yuko TOO SENSITIVE, anataka asifiwe hata pale alipokosea.

..kitendo chake cha kutoonekana akiwafariji waathirika ndiyo sababu ya kulaumiwa na wanasiasa wenzake.

..mimi ningekuwa mshauri wa Raisi ningemshauri asitumie kipindi hiki kulumbana na wanasiasa.

..huu ni muda wa KUWAFARIJI waathirika wa tetemeko la ardhi. We should focus on waathirika.

..Raisi akianza kujitetea ktk kipindi hiki cha MAOMBOLEZO kwa maneno kama "CCM haijasababisha tetemeko" inaoneka kama mtu anayejali maslahi ya chama na si maslahi ya waathirika.
 
Ni Taifa gani watu hawapewi misaada na serikali zao? Tofauti ni kwamba wenzetu Wana insurance scheme sisi hatuna. Kuna watu hata pesa ya kula hawana. Hicho kibaraza wanajenga vipi? Haya maisha tumetofautiana sana. Janga limfike mwenzako!!!!!
 
Mh. Raisi ameongea kisayansi, uzuri clip ipo juu hapo ukisikiliza tu unamuelewa.
Cha msingi ni haki ya kikatiba kwa wapinzani kukosoa raisi maana kumsifia kwa tafasiri ya upinzani wa Kiafrika ni sawa na kuua vyama vyao. Lolote ambalo lingefanywa na mh raisi wapinzani lazima wengekosoa kwa sababu hiyo ndiyo ajira yao.
Mh raisi, pale wapinzani wanapokukosoa katika mambo yenye manufaa kwa nchi yetu basi yachukue na kuyafanyia kazi, na pale wanapokukosoa ili wapate kick za kisiasa husikasilike bali wapuuze tu na kuwapiga vijembe vya kuwauzi
 
Thubutuuuuu sio ccm hiyo. Ccm na chapaa za watu tena za haraka haraka hawajambo [HASHTAG]#tanzania[/HASHTAG] ya viwanda
 
Tukiachana na cheap politics za CHADEMA and unethical conducts za viongozi wao; on a serious note tuna sheria luluki ambazo zinatoa framework jinsi ya ku approach national disaster na kuna body ambayo imeundwa na sheria 'disaster management act 2014' yenye majukumu ya kufanya research na kujua taratibu sahihi za kufanya intervention. Commonsense ni kujua kila disaster inakuja na changamoto gani, human resources zipi zinahitaji, skills za watu, mobilization, response time, contingency fund ya awali kabla ya misaada na mengine yote kuanzia early stage mpaka mwisho.

Hakuna anaekataa tetemeko la ardhi alifanyiwi na wanasiasa lakini kwakuwa serikari inatambua ya kuwa kuna hizo risks ndio maana ikatunga hiyo sheria. Sasa leo unajiuliza yuko huyu agency alietajwa na serikari ata kama jamii inatoa misaada si ni yeye ndiye alietakiwa kuwa anakusanya, kuwapa habari wananchi, pamoja na kuishauri serikari, wako hao ma expert wa haya mambo.

Serious Magufuli inabidi aingalie timu yake upya this is uncalled majuzi tumemaliza kupambana na kipindu kipindu hawa jamaa wanatakiwa wajue kwenye situation kama hizo mlipuko wa magonjwa ni risk nyingine, kuna watu bado wanashocks wanahitajia assurance to build their confidence sio lazima kupewa pesa, kuna watu wanamajonzi wamepoteza ndugu zao, kuna watu bado wako hospitali surely lazima lugha sahihi itumike na namna sahihi ya kuwapa faraja hawa wananchi sio lazima pesa ata empowerment to move forward.

I mean I can go on and on about this issues lakini ifike wakati waanze kukagua hizi Phd maana hawa ndio wanaopewa accountability kubwa na uwezo wao hafifu ndio unaopelekea kuzorota kwa sehemu nyingi; halafu mtu ukipekuwa kidogo kuangalia kama kuna tofauti na wengine wanavyofanya duniani unakutana na frameworks zile zile za dunia ya kwanza ila response and implementation zake toafauti sasa hawa wasomi walipitia modules tofauti au vipi (imagine tetemeko la ardhi linatokea on busy district si hatari).
 
Hiyo TV wanatizamia wapi?
Hakuna baya alilozungumza Rais
 
Ukweli upi alioongea wewe? Lini wahanga wa tetemeko la ardhi walilalamika kwamba tetemeko lililetwa na Serikali!? Kwanini wadhihakiwe katika kipindi kigumu kwao!? Acheni tabia ya kuunga mkono kauli za kuudhi kama hizi. Watu wamepoteza waume zao, watoto wao, wazazi wao etc badala ya kuambiwa maneno ya kuwaletea faraja wanakejeliwa!? Anaweza kutumia kauli kama hizi kwenye kuomba kura!? Mbona kwenye kuomba kura ni unyenyekevu wa hali ya juu!?

Watanzania wamezoea kupata faraja hewa na hawataki kuambiwa ukweli. Rais kaongea kweli tupu mm namuunga mkono.
 
Hahahahahah
 
Pesa zilizochangwa na wafanyabiashara zitatumika kwenye shughuli nyingine za kiserikali.
 
Kidumu chama cha mapinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…