API Gravity
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 658
- 765
Maneno ya faraja kweli kweliRais wakati akipokea report ya waziri mkuu kawambia wana Kagera wasibweteke kungojea misaada wafanye kazi wasingoje misaada serikali itafanya inapoweza tu
Hilo ni tukio la kiphysical lakini chanzo chake ni cha rohoni. Kumbuka Paulo na Sila waliomba na kumsifu Mungu likatokea tetemeko na milango ya gereza ikafunguka. Tukio la kimwili lenye chanzo cha rohoni. Hizo ni kanuni za rohoni, shetani aweza kuleta tetemeko kwa kutumia mawakala wake hapa duniani.Siku za kwanza watu mitaani walikuwa wanasema limeletwa na yeye sasasijui ulikuwa ni utani au chuki binafsi, alipokaa kimyaa zaidi hayo maneno yakazidi kukolea,ila watu waache imani za ajabu hakuna binadamu awezaye kuleta tetemeko, Naamin mh.rais ni mtu makini na anafuatilia haya majanga.
Tofautisha kujengewa na maafaYuko sawa ... Kujengea wananchi nyumba sio kazi ya serekali ... Kama ungekuwa hivo tusingejenga miaka yote tungesubiria tujengewe... Kazi ya serekali Ni kutengeneza miundo mbinu ya public kama barabara shule madaraja hospital maji UMEME tutimize wajibu wetu kama watanzania bana khaaaaa... Namkubali magufuli ...# raiskeshasema#
Ni kweli mkuu, ifike mahali tuwe wasema kweli hamna haja ya kufichaficha. Sio jukumu la Serikali kuwajengea watu nyumba za kuishi. Serikali itarejesha miundombinu yote ya kijamii iliyoathirika na kutoa misaada ya awali ya kibinaadam na kusaidia kurejesha hali kwa waathirika.michango itasaidia kuboresha miundo mbinu na kuwapa mahema ya kujisitiri ila wafanye kazi wanaanze wao serikali itawapa taff watakapo shindwa
hii ni kweli ajali haikusababishwa na serikali ya CCM,jeKwa kweli sina milioni saba ya kulipa... Ila Mkuu ana maneno mazito! Anasema waathirika wasikae tu huko wanangoja hela za serikali kwa sbb wanasikia zimechangwa,waanze kujisaidia kwanza wao na serikali itawasaidia pale waliposhindwa.
Mkuu anasema mtu ukuta umedondoka, anataka asubiri serikali ndio imtengenezee! Watu wajue tetemeko ni janga la asili halijaletwa na CCM. Waanze kwa kujenga wenyewe kuta zilizodondoka sio wasubiri serikali, sababu maisha yanendelea na watu wanatakiwa wafanye kazi kwa kujenga nyumba zao na sio kila kitu serikali itafanya.
Na wale wanasiasa wanaotaka kutumia janga hili kujinufaisha kisiasa mkuu anasema waache mara moja.
Na kasema wote wanaotumia janga hili kukusanya misaada kwa njia ya kitapeli, basi wakamatwe mara moja.
Sidhani kama fedha na misaada mingine imetolewa na serikali peke yake, michango mingi zaidi imetolewa na watu binafsi na mashirika mbalimbali, kwa hiyo nashauri kwamba wote waliochangia wasitumie fursa hiyo kuwasimanga wahanga wa tetemeko, misaada wanayopewa ni kidogo sana ukilinganisha na hasara waliopata, ya upotevu wa mali na hata maisha.Kwa kweli sina milioni saba ya kulipa... Ila Mkuu ana maneno mazito! Anasema waathirika wasikae tu huko wanangoja hela za serikali kwa sbb wanasikia zimechangwa,waanze kujisaidia kwanza wao na serikali itawasaidia pale waliposhindwa.
Mkuu anasema mtu ukuta umedondoka, anataka asubiri serikali ndio imtengenezee! Watu wajue tetemeko ni janga la asili halijaletwa na CCM. Waanze kwa kujenga wenyewe kuta zilizodondoka sio wasubiri serikali, sababu maisha yanendelea na watu wanatakiwa wafanye kazi kwa kujenga nyumba zao na sio kila kitu serikali itafanya.
Na wale wanasiasa wanaotaka kutumia janga hili kujinufaisha kisiasa mkuu anasema waache mara moja.
Na kasema wote wanaotumia janga hili kukusanya misaada kwa njia ya kitapeli, basi wakamatwe mara moja.
Kwa hiyo unataka Serikali iwajengee nyumba??Bwana heee,hivi unajua kwa Tanzania kumiliki nyumba ni shughuli pevu sana,kwa halii ya kiuchumi watu washapatwa na majanga alafu ndo waanze pandisha nyumba inawezekana ila co kirahisi hvy,maana wengine ndo wachangishane ukoo mzima.
Watanzania wamezoea kupata faraja hewa na hawataki kuambiwa ukweli. Rais kaongea kweli tupu mm namuunga mkono.Kwani kasema uongo? Mbona ni kweli tupu? Nimesikia mpaka viongozi wa makanisa wanataka wajengewe makqnisa yao. Hii ni aibu. Wekeni bima nyumba zenu japo hata bima hazihusiki na majanga ya asili. Serikali haijengi nyumba ya mtu kwa majanga asili. Utapata turubali na hema kwa muda wakati unahangaika ku settle na si kujengewa nyuma. Amkeni!