Rais Magufuli timiza ahadi yako ya kumpatia ajira Joshua Nassari

Umenikumbusha mbali, akiwa kwenye kampeni hizo hizo, Kule mkoa wa kilimanjaro, alimwita Ibra line( ibrahim shayo) jukwaani akamwaahaidi kazi nyingine Hadi leo anasota stand akihangaika na mabasi mabovu. Isitoshe Ibra line inasemekana ni std 7.
Ana basi yake moja inaenda mtwara sidhani kama ana basi jipya huyu.........
 
Kuna vijana weeengi tu hawana kazi...Huyo Joshua ni mumeo wandoa ama?
 


So this is the blackmail statement that he has prepared?

Yetu macho na masikio......Atajua hajui!
 
Ngongo aka j. Nassari
 
Huyo dogo ana njaa ya utosi.... hataishi maisha ya amani !! Kitendo alichofanya ni cha aibu kubwa kwake binafsi kwa mkewe na kwa wananfamilia wake wote, mwanaume asiye kuwa na msimano ni hatari...anaweza kuuza hata mkewe kisa vipande kumi vya pesa!!
 
Asipewe ili tujue hayo

Zimebakia siku chache
 

Akikosa kabisa basi walau ukatibu kata
 

Dhambi ya usaliti haijawahi kumuacha mtu salama
 
Sijawahi kuona MTU anaacha ubunge kiboya hivyo na kupoteza stahiki zote!! By the way alishamchafua rais wetu sana mwanzoni na mikamera yake ya kalamu
 
Ikiwezekana ikifika march wote tuhame nchi🤣🤣🤣🤣🤣
 
"Mimi ukinishauri ndio kabisaaaaaa sifanyi" (Magu, 2019)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…