Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
- Thread starter
- #141
Nmekusoma kwa muda mrefu sana ila nilikua sitaki kukulaumu kwa sababu ya mambo mkuu mawili.
1) Nnajamaa zangu wengi wapo nje ya nchi wao mara nyingi sana huko walipo ni watu wa kusifia na kuunga mkono juhudi, ilifikia baadhi wakawa mpk wananikashifu kwa kuniita mimi ni mpiga dili, ila wengi walio bahatika kuja nchini na kukaa kwa muda mchache tu kwa waliyoyaona hapa wamekiri wenyewe ni tofauti kabisa na jinsi walivyokua wanafikiria wao kabla ya kujionea hali halisi ilivyo.
2)Kawaida (damu ni nzito kuliko maji) hili nadhani unalifahamu maana nlikua nakwambia mara kwa mara hivyo haina haja ya maelezo mengi.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Ndugu, kwani unanijua? Unajua nipo nchini mara ngapi kwa mwaka? Unajua frequency ya kuja kwangu?
Usidhani uhalisia wa nduguzo ndo uhalisia wa kila mtu.
Mimi ni mimi na wao ni wao. Hatulingani wala kufanana.
Kuhusu undugu, Magu mimi simjui na hanijui. Mengineyo ni hisia zako tu na si uhalisia.