Rais Magufuli; ubanaji matumizi; na kujichanganya [contradict]

Hawa watu waende wajifunze Myanmar ambapo Serikali ipo Nay pie daw na mji mkuu ni Yangon.

Mabalozi na ofisi zote za nje zipo Yangon lakini mawaziri wote wapo huko NYPD. Shida ni kwamba inabidi kukiwa na mikutano upande ndege kwa pesa ya shirika lako kwenda huko na kurudi wakati wana ofisi huku Yangon na zinaipiwa na walipa kodi. Hivi nani analipia kodi za nyumba Dar wakati hawa watu wana double allocation?

Heri ya Sr. Kahama aliamua akahamia Dodoma enzi zake ili kutekeleza wito wa Mwalimu. Tusubiri tutaona mengi tu.
 
Siku hizi kuna mambo ya teleconferencing!

Watu wanaweza kuwa Songea, Kagera, Dodoma, na Dar na bado mkafanya mkutano.
 
Kutagharimu usalama wetu, unless unataka kuweka mabilioni ya Dola kulinda ukanda unaozidi km 1400 za bahari.

Usalama gani?

Hadi hivi sasa tumeathirikaje na Dar kuwa mji mkuu?
 
Je, wajua wakati serikali ikitumia mabilioni kuhamia dodoma na mabilioni kurudia chaguzi mbalimbali, watoto wanaoanza form one baadhi ya shule wametaarifiwa waende na madawati yao?
 
Siku hizi kuna mambo ya teleconferencing!

Watu wanaweza kuwa Songea, Kagera, Dodoma, na Dar na bado mkafanya mkutano.
I know it ila hapa inabidi uchukue ndege uende kuongea na wakubwa. Bureaucracy system.
 
Lakini mtoa mada hajaona mbali pia. Jaribu kuwaza kama Dsm tungebaki kama tulivyokua hapa hapa ndani ya miaka kumi (10) tu sijui jiji la Dsm lingekuwaje katika nyanja mbalimbali kihuduma kama usafiri, hospitali n.k
Jaribu kuwa na vision mku. South Africa waliyohamisha mji kutoka Johanesberg kwenda Pritoria nao waliwaza mbali.

Nasema, kwanza ungefurahi kwa hili maana Serikali ikitumia pesa katika miradi kama hii, Watanzania tunanufaika zaidi hata kuliko ku import ndege ambayo kila kitu na pesa yote imenufaisha wa Canada wanaotengeneza Ndege.

Kwa kuijenga Dodoma, ni tofauti, maana Wajenzi wa makazi na maofisi ni Wa Tz wenyewe na matofari ya ujenzi tunatengeneza sisi wenyewe ndo maana utaona makandalasi wanaojua kazi siku hizi hawalii na njaa pesa wanaipata. Circulation ya pesa kutoka Serikalini inapitia kwao na wengine tunapata humohumo kama wakina Mama Ntilie, biashara ndogo ndogo n.k

Mku, katika hili la kujenga Dodoma, tembea kifua mbele!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
South Africa ina mji mkuu mmoja?
 
South Africa ina mji mkuu mmoja?
Hata sisi nihivyohivyo mji mku moja ni Dodoma na Dsm unabaki mji wa Biashara. Period.
Kama South Africa walivyo na mji mku moja Pretoria na Joberg ni mji wa Biashara. Kote huko mku nimeshafika naongea kitu nachokijua Vzr.
 
ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA NYINYIEMU ..... walipoona si sahihi wakabadili salamu ...
ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI WA NYINYIEMU .....
Oh! Kumbe kuna uwezekano mkubwa kwamba fikra nyingine za huyo mwenyekiti sio sahihi.
 
Hata sisi nihivyohivyo mji mku moja ni Dodoma na Dsm unabaki mji wa Biashara. Period.
Kama South Africa walivyo na mji mku moja Pretoria na Joberg ni mji wa Biashara. Kote huko mku nimeshafika naongea kitu nachokijua Vzr.

Bunge la South Africa lipo wapi?

Mahakama je?
 
"Wazo lililokuwa na maana miaka ya 70 huko leo hii si lazima liwe na maana tena.

Leo hii sioni sababu ya kuingia migharama mikubwa kuhamisha makao makuu ya nchi"

umemaliza kila kitu hapo........wameshindwa kueleza faida za uchumi zitakazo patikana katika kuhamia dodoma, hizo juhudi mda na gharama za kuhamia dodoma zikiwekwa katika kilimo inaweza kuleta Revolution ya kilimo.....(Green revolution in Tz) ajira kipato cha serikali foreign currency technology vyote vitapatikana

Sent using Jamii Forums mobile app
lakini alikokotoa kwa kikokotoleo cha zamani na akasema kuwa jiji la DAR linapoteza mabilioni ya pesa kwasabab ya foleni...
 
Kweli mku mana traffic jam ya magari ni kupoteza pesa. Mtu unakaa foreni na gari au ndani ya daladala masaa 4 hapo unatoka tu Kimara kwenda Posta. Acha wengine waende Dodoma mana hata hawa Mashemeji na Mashangazi nao sasa wakitaka kuwatembelea wanaenda Dodoma hawaji Dsm. Mji sasa unapumua kidogo. Na Dodoma haijai leo wala kesho. Ile ina matoleo kama manne-4. Mpaka watu nako wajenge majumba wajae kama Mbagala, au Temeke, Yesu nae atakua anarudi.
1. Dsm Road
2.Arusha Road
3.Iringa Road
4.Singida Road
 
Lakini mtoa mada hajaona mbali pia. Jaribu kuwaza kama Dsm tungebaki kama tulivyokua hapa hapa ndani ya miaka kumi (10) tu sijui jiji la Dsm lingekuwaje katika nyanja mbalimbali kihuduma kama usafiri, hospitali n.k
Jaribu kuwa na vision mku. South Africa waliyohamisha mji kutoka Johanesberg kwenda Pritoria nao waliwaza mbali.

Nasema, kwanza ungefurahi kwa hili maana Serikali ikitumia pesa katika miradi kama hii, Watanzania tunanufaika zaidi hata kuliko ku import ndege ambayo kila kitu na pesa yote imenufaisha wa Canada wanaotengeneza Ndege.

Kwa kuijenga Dodoma, ni tofauti, maana Wajenzi wa makazi na maofisi ni Wa Tz wenyewe na matofari ya ujenzi tunatengeneza sisi wenyewe ndo maana utaona makandalasi wanaojua kazi siku hizi hawalii na njaa pesa wanaipata. Circulation ya pesa kutoka Serikalini inapitia kwao na wengine tunapata humohumo kama wakina Mama Ntilie, biashara ndogo ndogo n.k

Mku, katika hili la kujenga Dodoma, tembea kifua mbele!!!!!!!!!!!!!!!!!

South Africa waliamua kila muhimili wa dola kuwa na mji wake mfano ni mji wa Cape Town ni makao ya Bunge Parliament of the Republic of South Africa - Parliament of South Africa , mji wa Pretoria makao ya Serikali Pretoria is proposed as the new capital of ZAR na mji wa Bloemfontein ni makao ya Mahakama Home. Na hiyo ni miaka (miongo) mingini ya nyuma.

Tukirudi hapa Tanzania ni uoga wa serikali ya awamu ya 5 kuona Bunge lipo mbali na serikali iliyopo Dar es Salaam na pia kujitakia sifa zisizo na mashiko zilizopitwa na sayansi /teknolojia ya karne hii kama wachangiaji wanavyohoji gharama na mantiki ya kulazimisha kuhamisha kila kitu Dodoma.
 
Wala sikujua nani amepost. Mimi nilijikita kwenye content tu, na nikaona nitoe hizo facts ambazo nilijua mwandishi amezi-overlook. Hata hivyo, mada zako kama zikinigusa kama ilivyonigusa hii nitaendelea kuchagia, na wewe ukijisikia endelea kutukana tu kama ambavyo huwa unatukna siku zote!
 
Wakati dunia ipo kwenye digital age, kuna wenzetu bado wamenasa kwenye tope la analojia!!!

Wala sikujua nani amepost. Mimi nilijikita kwenye content tu, na nikaona nitoe hizo facts ambazo nilijua mwandishi amezi-overlook. Hata hivyo, mada zako kama zikinigusa kama ilivyonigusa hii nitaendelea kuchagia, na wewe ukijisikia endelea kutukana tu kama ambavyo huwa unatukna siku zote!
 
lakini alikokotoa kwa kikokotoleo cha zamani na akasema kuwa jiji la DAR linapoteza mabilioni ya pesa kwasabab ya foleni...
Kwa kutumia kikokotoo cha sasa....inakuaje tena Wizara zote mabarozi wote tasisi zote kubwa za serkali na zisio za serikali of ice ya ikulu, kuhamia dodoma yenye miundobinu finyu huoni foreni kumbwa tena kuliko hata ya Dar baada ya kuhamia....hoja yake dhaifu sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mku mana traffic jam ya magari ni kupoteza pesa. Mtu unakaa foreni na gari au ndani ya daladala masaa 4 hapo unatoka tu Kimara kwenda Posta. Acha wengine waende Dodoma mana hata hawa Mashemeji na Mashangazi nao sasa wakitaka kuwatembelea wanaenda Dodoma hawaji Dsm. Mji sasa unapumua kidogo. Na Dodoma haijai leo wala kesho. Ile ina matoleo kama manne-4. Mpaka watu nako wajenge majumba wajae kama Mbagala, au Temeke, Yesu nae atakua anarudi.
1. Dsm Road
2.Arusha Road
3.Iringa Road
4.Singida Road
Tabora Mwanza na miji mingine haina foreni......manaake hawapotezi pesa mbona maendeleo katika hayo majiji hatuyaoni......hiyo dhaifu sana pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom