Rais Magufuli; ubanaji matumizi; na kujichanganya [contradict]

Rais Magufuli; ubanaji matumizi; na kujichanganya [contradict]

Kama ni hivyo basi uko Very fair, samahani inawezekana sikukuelewa vizuri. Nakubaliana na wewe umekuwa ukimsifia na kumkosoa Magufuli, kwa mfano. Lakini hebu nisaidie kwa kunikumbusha angalau kwa mwaka jana umetuma nyuzi zipi kuwapongeza "makamanda" pale walipopatia, au siku zote wao ni hovyo tu? Nasema tena samahani inawezekana kuna uzi uliposti sikuuona ukanipita, nikamlaumu bure Nyani wa watu.

Nimeanzisha threads nyingi sana humu na nimechangia mada nyingi sana.

Ukipata muda wa ziada ingia tu kwenye profile yangu usome michango yangu.

Ukiisoma na ‘open mind’, uta acknowledge ninachokwambia.

Usipo acknowledge, basi.
 
Mtu akitaka likes za kufa mtu kutoka kwa Wachaga ili ajisikie vizuri hakuna kinachosaidia kama Magufuli bashing!
haya mambo ya kulinganisha hoja na makabila ni ya kipuuzi sana.
nakumbuka mwaka 2005 siku moja kabla ya uchaguzi bwana mahita IGP wa wakati huo alisimama mbele ya kamera na kusema wamekamata makontena ya visu yenye mpini wa rangi ya CUF kwamba CUF Ilipanga kufanya vurugu kwa kutumia mapanga kisa ni chama cha WAISLAM wakati huo leo hamsemi tena. nakumbuka tuliaminishwa kuwa CDM ni chama cha wachaga lakini kwani Mbeya, Iringa, kawe na hata ukonga kuna wachaga tuu?
ukiona mtu anaingiza udini au ukabila kwenye hoja jua anaupungufu wa akili kama bwana mkubwa
 
Ni enzi hizo. Hakukuwa na maendeleo makubwa ya mawasiliano. Hakukuwa na barabara Bora na usafiri wa uhakika!!

Kwa wakati huo ni sawa... Lakini viongozi wa wakati huo waliona mwelekeo wa maendeleo na teknolojia wakapotezea!!

Wakati dunia ipo kwenye digital age, kuna wenzetu bado wamenasa kwenye tope la analojia!!!
 
Mwenyewe na wengine wanasema tunaweza tusimuelewe sasahivi,kwamba tutamuelewa baadae.lkn kiukweli ukiacha hizo gharama za kuhamia dodoma kuna miundombinu iliyokuwa ikitumika hapa mjini imebaki magofu na baada ya miaka michache itakuwa haifai kwa matumizi,pili uwekezaji wa miundombinu hasa ya nyumba za makazi na ofisi imebaki kuwa hasara kwa wawekezaji na kwakweli sijui nini kifanyike kuokoa hiyo hali.
Hapo atakuwa amefurahi sana tena sana kwani ktk mipango yake yote nikuwakomoa wale aliokuwa akiamini ni Mafisadi kumbe sio kweli bali ni Maadui zake kisiasa.

Kuhamia Dodoma ilikuwa ni mbinu yake yakuhakikisha wale wenye nyumba na wapangaji wake wakubwa ni waajiriwa wa Serikali pamoja na Taasisi zingine nyeti basi watakuwa wamewapoteza wateja. Nafikiri mtakumbuka alipokuwa akijigamba kuhusu kuhamia Dodoma aliwahi kusema Wale Mafisadi wote wenye nyumba Dar hawatakuwa na wapangaji tena labda wazigeuze hizo nyumba kuwa Mahoteli kwani Serikali yake yote inahamia Dodoma.

Sijawahi kuona wala kusikia Kiongozi Mkuu wa nchi eti anauchukia utajiri na kuupenda umasikini. Wakati huo huo anahitaji KODI kwajili yakuendeshea Serikali yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Project zote ambazo Magufuli ameziweka mezani, zilitakiwa kutekelezwa 30 years ago. Iwe ndege, umeme, treni, elimu bure, Dodona, hospitali nk. Tofauti ya viongizi wa zamani na Magufuli, huko nyuma viongizi hawakuweza kuzitafuta fedha za ku- implement those projects. Study zote zilifanyika siku nyinyi na umuhimu wa ulionekana huko nyuma na bado upo lei hii. Kama mjadala ni gharama, basi ni kujiuliza ita tugharimu kiasi gani na kama nchi haina huo iwezo. Kama mjadhala ni umuhimu, uhuhimu upo sana tu na mwingine hata unagusa usalama wetu.
 
Kwanini waendelee kwenda dodoma ktk karne hii ya sayansi na teknolojia? Km presentation wanaweza kuifanya hta wakiwa dar
Umewahi kujiuliza kwa miaka zaidi ya 30 tumetumia shs ngapi kwa ajili ya allowance ya watumishi wa umma waliokuwa wanaenda Dodoma kwa ajili ya vikao vya Bunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Watanzania wanaendaga Dar tu?

Serikali ingepaswa kuwa na ofisi zake muhimu kwenye kanda, kama hawana mpaka hivi sasa.

Hiyo ni bonge la option.

Mtu wa Simiyu akitaka huduma flani flani basi anaenda Mwanza.

Wa Iringa akitaka huduma flani kama Iringa haipo basi anaenda Mbeya.

Lakini siyo kuhamisha serikali nzima iende Dodoma..
Au watumie tu mawasiliano ya kileo sio lazima kukutana physically

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo liko wapi, kama anasema pesa sio shida shida ni matumizi yasiyo ya lazima.

Kwa Tanzania Dodoma kuwa makao makuu ya nchi sijawahi kusikia kama sio hitaji la lazima la watawala.
Nadhani hata Nigeria walifanya.

Ni maamuzi sahihi, yatakuwa fyongo kama yamefanywa nje ya budget na mipango, kiasi kwamba baadae tuone tulikurupuka na wakaja watawala wengine wakaturudisha Magogoni maana sioni kama maamuzi hayo yanaulinzi kisheria.
 
Project zote ambazo Magufuli ameziweka mezani, zilitakiwa kutekelezwa 30 years ago. Iwe ndege, umeme, treni, elimu bure, Dodona, hospitali nk. Tofauti ya viongizi wa zamani na Magufuli, huko nyuma viongizi hawakuweza kuzitafuta fedha za ku- implement those projects. Study zote zilifanyika siku nyinyi na umuhimu wa ulionekana huko nyuma na bado upo lei hii. Kama mjadala ni gharama, basi ni kujiuliza ita tugharimu kiasi gani na kama nchi haina huo iwezo. Kama mjadhala ni umuhimu, uhuhimu upo sana tu na mwingine hata unagusa usalama wetu.

Kutokuhamia Dodoma kutagharimu kiasi gani?
 
Alipoingia madarakani aliingia kwa kasi na mbwembwe za kutaka kubana matumizi.

Akawakoromea wabunge kuhusu pesa za tafrija zao huko Dodoma, akaamuru kusiwepo na sherehe/ shamrashamra za sikukuu ya muungano, na kadhalika.

Baadhi yetu tukayaafiki hayo maamuzi. Tukaona ni mwanzo mzuri maana mabilioni ya pesa yalikuwa yakitumika kiholela tu kwa sherehe za masaa machache wakati kuna mambo mengine yaliyo ya muhimu ambapo hayo mabilioni yangeweza kutumika.

Baadaye kidogo akaja na hizi habari za serikali kuhamia Dodoma.

Sikuelewa! Nikajikuna kichwa.

Nikajiukiza, kama kweli mtu anayechukia mambo ya kutumia hovyo pesa za walipa kodi, inawezekanaje mtu huyo huyo ndo akawa mstari wa mbele katika kutaka kufanikisha jambo ambalo litagharimu mabilioni [kama siyo matrilioni] ya pesa za walipa kodi?

Nikajaribu kutafuta sababu iliyo ya lazima kuendelea na huo mpango wa kuifanya Dodoma ndo iwe mji mkuu, nikakosa!

Wazo lililokuwa na maana miaka ya 70 huko leo hii si lazima liwe na maana tena.

Leo hii sioni sababu ya kuingia migharama mikubwa kuhamisha makao makuu ya nchi.

Hapo ndipo napoona Rais Magufuli hayupo consistent kivile katika maamuzi mazuri ya matumizi ya pesa za walipa kodi.

Anabana matumizi huku lakini anaenda anatumia vibaya kule.

Mwisho wa siku inakuwa ni kazi bure tu! Inakuwa hujabana chochote!!

Ndo kujichanganya kwenyewe huko.

Heri ya 2019.

Wenu daima,

Nyani Ngabu au ukipenda, niite NN.

NN,
Huwa hatubani matumizi kwa kuacha kufanya vitu ambavyo ni vya Msingi! Kwa mfano, hubani matumizi kwa kuhakikisha kuwa enrollment ya wanafunzi wa Darasa la kwanza inaendelea kuwa ndogo, kisa eti wakiongezeka ghrama ya kuwasomesha itakuwa kubwa, hapana. Unabana matumizi kwa kuzuia mikutano kufanyikia Dubai, ambayo ingeweza kufanyikia AICC
Swala la kuhamia Dodoma ni la siku nyingi zaidi ya miaka 40 iliyopita na waliofikia uamuzi huo walikuwa na sababu zao nyingi mno za maana na za msingi mno kiasi kwamba zingine wala si rahisi ukazitaja humu. Mji wa Dodoma uko strategically located kiasi kwamba kuwa Mako Makuu kuna tija zaidi ya vijisenti ambavyo Serikali itatumia kuujenga. Zaidi ni kuwa kwa mara ya kwanza Serikali imeweza kujenga capacity ya kuwa na hela ya kufanya hivyo, tofauti na nyingine zote zilizopita huko nyuma.
Vilevile sasa hivi Ikulu yetu imesogelewa na majengo marefu ambayo kuna uwezekano mengine ukiwa ghorofa za juu, unaweza ukaona hadi ndani yake. Si kitu kibaya lakini kwa Nchi zetu za Afrika si vizuri sana tuka-treat Ikulu yetu kama ya Marekani. Lazima iendelee kuwa isolated kidogo kulingana na mazingira yetu yalivyo kwa kipindi hiki!
 
Wewe si unasemaga sina akili timamu?

Kwa nini unasoma mada zangu na kuchangia kwa kunikwoti kabisa?

Si unipotezee tu kwa vile mimi ni kichaa.

Usihangaike nami.
 
Alisema mwishoni mwa mwaka 2018 atahamia dodoma, vipi ashahamia?
Tatizo tunajaribu kutafuta kila kitu kinachotufaa sisi binafsi ndo tuone cha maana, bunge kuwa dodoma kila mtu anakubali, historia ya nchi yetu inasema mji mkuu wa tanzania ni dodoma, nyerere alivision makao makuu ya nchi, hadi ikulu iwe dodoma tatizo alilolikumba yeye kipindi hicho nchi changa akafanikiwa kukuta bunge lipo dodoma akaishia hapo, waliofata hawakutaka kufuatilia hilo swala wakala bata zao wakamaliza majukumu yao fresh, sasa kaja huyu kaona mi nataka nimalize hili swala kabisa, sasa kila mtu anaona oooh huu ni upuuzi, how come wakati ilikua ndo moja ya plan ya nchi, kwangu mi naon kwakuwa ni mpango wa kuinufaisha nchi na dodoma ikiwa imejengwa itanufaisha tanzania nzima wala sioni matumizi mabaya yapo wapi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakitokea wapi?
Umewahi kujiuliza kwa miaka zaidi ya 30 tumetumia shs ngapi kwa ajili ya allowance ya watumishi wa umma waliokuwa wanaenda Dodoma kwa ajili ya vikao vya Bunge?
 
Back
Top Bottom