Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
- Thread starter
-
- #141
Nmekusoma kwa muda mrefu sana ila nilikua sitaki kukulaumu kwa sababu ya mambo mkuu mawili.
1) Nnajamaa zangu wengi wapo nje ya nchi wao mara nyingi sana huko walipo ni watu wa kusifia na kuunga mkono juhudi, ilifikia baadhi wakawa mpk wananikashifu kwa kuniita mimi ni mpiga dili, ila wengi walio bahatika kuja nchini na kukaa kwa muda mchache tu kwa waliyoyaona hapa wamekiri wenyewe ni tofauti kabisa na jinsi walivyokua wanafikiria wao kabla ya kujionea hali halisi ilivyo.
2)Kawaida (damu ni nzito kuliko maji) hili nadhani unalifahamu maana nlikua nakwambia mara kwa mara hivyo haina haja ya maelezo mengi.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu naomba uninong'oneze hio kenge yenye upara.[emoji23][emoji23][emoji23] kuna kenge 1 ina upara ilisalenda baadaye ikaja geuka..ile inaipenda san cdm inaogopa tu kujiweka wazi...hyo kenge uloitaja hyo inalamba makalio daily ya mkulu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu, kwani unanijua? Unajua nipo nchini mara ngapi kwa mwaka? Unajua frequency ya kuja kwangu?
Usidhani uhalisia wa nduguzo ndo uhalisia wa kila mtu.
Mimi ni mimi na wao ni wao. Hatulingani wala kufanana.
Kuhusu undugu, Magu mimi simjui na hanijui. Mengineyo ni hisia zako tu na si uhalisia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakushukuru kwa kua wewe ni mzalendo
Ila nnahofia muda sio mrefu na wewe utaambiwa unawashwawashwa,
Mi nachokushauri we endelea tu kuunga mkono juhudi maana maendeleo hayana chama.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Mkuu wewe ni miongoni mwa watu nnaowakubali sana humu jukwaaniWatu humu huwa mnaumba uhalisia wenu vichwani mwenu na kuuamini.
Hahahahaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu naomba uninong'oneze hio kenge yenye upara.
Bibi yetu hapa jukwaani maarufu bi kifimbo cheza yeye alipotea kabisa humu jukwaani ila sasa hivi naona kampeni karibu zinaanza ndio ameanza kuonekana, ila sasa hivi hayupo kama mwanzo juhudi zake za kuunga mkono taratibu zimepungua na sasa hivi kuna baadhi ya mambo eti na yeye kawa mkosoaji.
Ila mi na kushukur money we sasa hivi unaunga mkono juhudi kwa vitendo kwa kua mtukufu alituaminisha kua katikati ni laha na wewe umeonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kutubadilishia avatar yako na kutuwekea avatar ya katikati ni laha.
Sent from my GT-P5200 using
Tapatalk
Asivyopenda kuambiwa ukweli sasa sijui na wewe Ngabu atakuita Mayala ndio njaa kikwenu huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaharibu sredi ya watu ww beberu...huyo anajiita kipara kipya i think..mchek tu..na kuna huyu John mbatizaji naye last week aliamka..we mfatikie nyuzi zake za last week..
XXM OE!
Mkuu,Alipoingia madarakani aliingia kwa kasi na mbwembwe za kutaka kubana matumizi.
Akawakoromea wabunge kuhusu pesa za tafrija zao huko Dodoma, akaamuru kusiwepo na sherehe/ shamrashamra za sikukuu ya muungano, na kadhalika.
Baadhi yetu tukayaafiki hayo maamuzi. Tukaona ni mwanzo mzuri maana mabilioni ya pesa yalikuwa yakitumika kiholela tu kwa sherehe za masaa machache wakati kuna mambo mengine yaliyo ya muhimu ambapo hayo mabilioni yangeweza kutumika.
Baadaye kidogo akaja na hizi habari za serikali kuhamia Dodoma.
Sikuelewa! Nikajikuna kichwa.
Nikajiukiza, kama kweli mtu anayechukia mambo ya kutumia hovyo pesa za walipa kodi, inawezekanaje mtu huyo huyo ndo akawa mstari wa mbele katika kutaka kufanikisha jambo ambalo litagharimu mabilioni [kama siyo matrilioni] ya pesa za walipa kodi?
Nikajaribu kutafuta sababu iliyo ya lazima kuendelea na huo mpango wa kuifanya Dodoma ndo iwe mji mkuu, nikakosa!
Wazo lililokuwa na maana miaka ya 70 huko leo hii si lazima liwe na maana tena.
Leo hii sioni sababu ya kuingia migharama mikubwa kuhamisha makao makuu ya nchi.
Hapo ndipo napoona Rais Magufuli hayupo consistent kivile katika maamuzi mazuri ya matumizi ya pesa za walipa kodi.
Anabana matumizi huku lakini anaenda anatumia vibaya kule.
Mwisho wa siku inakuwa ni kazi bure tu! Inakuwa hujabana chochote!!
Ndo kujichanganya kwenyewe huko.
Heri ya 2019.
Wenu daima,
Nyani Ngabu au ukipenda, niite NN.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi ndio maana hua sipendagi kuchangia lolote kwenye jukwaa hili hua nnachunguliaga na kusepa zangu kimya kimya ila nlivyoona kenge anaanza kuchuruzika damu nikajikuta tu na mimi nawashwa washawa.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Mzee hapendi ukweli yule yy anapenda kusifiwa vya uongo tuanasimamishaga mipua inakuwa inacheza cheza tu..
Asivyopenda kuambiwa ukweli sasa sijui na wewe Ngabu atakuita Mayala ndio njaa kikwenu huko
Hahahaaaa huku mi naonaga kunaniongezea stress tu bora niwe nabaki kulekule kwenye jukwaa letu pendwaunawashwa washwa km wastaafu[emoji4][emoji4] mini huku uvumilivu sinaga
Mzee hapendi ukweli yule yy anapenda kusifiwa vya uongo tu
yote meme yote mema hata magumu yanasababu....Alipoingia madarakani aliingia kwa kasi na mbwembwe za kutaka kubana matumizi.
Akawakoromea wabunge kuhusu pesa za tafrija zao huko Dodoma, akaamuru kusiwepo na sherehe/ shamrashamra za sikukuu ya muungano, na kadhalika.
Baadhi yetu tukayaafiki hayo maamuzi. Tukaona ni mwanzo mzuri maana mabilioni ya pesa yalikuwa yakitumika kiholela tu kwa sherehe za masaa machache wakati kuna mambo mengine yaliyo ya muhimu ambapo hayo mabilioni yangeweza kutumika.
Baadaye kidogo akaja na hizi habari za serikali kuhamia Dodoma.
Sikuelewa! Nikajikuna kichwa.
Nikajiukiza, kama kweli mtu anayechukia mambo ya kutumia hovyo pesa za walipa kodi, inawezekanaje mtu huyo huyo ndo akawa mstari wa mbele katika kutaka kufanikisha jambo ambalo litagharimu mabilioni [kama siyo matrilioni] ya pesa za walipa kodi?
Nikajaribu kutafuta sababu iliyo ya lazima kuendelea na huo mpango wa kuifanya Dodoma ndo iwe mji mkuu, nikakosa!
Wazo lililokuwa na maana miaka ya 70 huko leo hii si lazima liwe na maana tena.
Leo hii sioni sababu ya kuingia migharama mikubwa kuhamisha makao makuu ya nchi.
Hapo ndipo napoona Rais Magufuli hayupo consistent kivile katika maamuzi mazuri ya matumizi ya pesa za walipa kodi.
Anabana matumizi huku lakini anaenda anatumia vibaya kule.
Mwisho wa siku inakuwa ni kazi bure tu! Inakuwa hujabana chochote!!
Ndo kujichanganya kwenyewe huko.
Heri ya 2019.
Wenu daima,
Nyani Ngabu au ukipenda, niite NN.
Anga zangu sema mods wanapendaga sana kunipa ban nikiwa huku naingia kwa machale sanaWewe nini kimekuleta huku leo? Hahahaaa siyo anga zako kabisa hizi.
Miaka ya 70 huko ilileta maana kusema tunapeleka makao makuu Dodoma "kwa sababu ni katikati ya Nchi". Doesn't make any sense these days ambapo sio lazima uende ofisini kufanya kazi kwani kuna kila kitu, including video-conferencing. Yaani tangu huyu jamaa alipofananishwa na JK Nyerere (RIP) na baadhi ya watu, kaona ni busara kwake kuiga kila alilolisema na/au kulianzisha Nyerere. Msishangae siku Jiwe akibuuka na "azimio la Chato"