Rais Magufuli, umewadhalilisha sana wanawake weusi nchini

Wanawake wa CCM wanaponda udhalilishaji na kutweza utu wa mwanamke unaofanywa na Magufuli ndiyo maana wanaishia kumpigia makofi.

Hayo anayoyafanya Magufuli ni kutweza utu wa mwanamke na kuwaonyesha wanawake kama CHOMBO CHA STAREHE na siyo binadamu wanaostahili kuheshimiwa kama watu wengine.

Toka ameingia madarakani amekuwa akitumia kauli nyingi ambazo zinatweza utu wa mwanamke
 
Asante sana kwa hili manake ilikuwa mpaka kero na kweli wanawake weusi wamejisikia vibaya sana.
 
Najua mmevumilia sana kwa miaka yote mitano mambo ambayo hayafurahishi masikioni, mara mkiitwa weupe mara weusi. Mwisho wa mwezi huu ndio wakati mzuri mkakataa kubaguliwa kwa misingi ya rangi au mwonekano wenu.
 
Asante sana kwa hili manake ilikuwa mpaka kero na kweli wanawake weusi wamejisikia vibaya sana.
Labda wewe umejisikia vibaya

Wanawake weusi wamekwambia saa ngapi kwamba wamejisikia vibaya
 
Yaaani watu mna shida nyie
Hv Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba
Binadamu bhana ni shida sana

Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango

Rais huwezi kuwa na utani wa kipumba pumba hicyo kisga ukadai uheshiniwe! Fake sana!
 
Yaani beki aunawe mpira kwenye 18 halafu aseme alikuwa anatania tu!
Yaani hapo ni tutaa tu
Wanawake weusi kama kweli wana akili, tarehe 18 mtuonyeshe kama kweli mko vizuri.
Chagua heshima, katika dharau.NIYEYE TUNDU LISSU
 
Napenda siku moja niwe kwenye timu ya kumshauri - ndo msiompenda mtachukia zaidi
 
Yaaani watu mna shida nyie
Hv Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba
Binadamu bhana ni shida sana

Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Utani gani huo wa kishamba shamba hivyo?acha kushabikia utani wa kuendekeza mkorogo
 
Yaani beki aunawe mpira kwenye 18 halafu aseme alikuwa anatania tu!
Yaani hapo ni tutaa tu
Wanawake weusi kama kweli wana akili, tarehe 18 mtuonyeshe kama kweli mko vizuri.
Chagua heshima, katika dharau.NIYEYE TUNDU LISSU
Kila Mtanzania mwenye Akili timamu hawawezi kuipigia CCM kura kwanza wameshajua kuwa Tumeccm kwa kushirikiana na Polisiccm watafanya uchakachuaji wanajiandaa kupiga kura nyingi mpaka uchakachuaji wa CCM ushindwe kupenya
 
Yaaani watu mna shida nyie
Hv Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba
Binadamu bhana ni shida sana

Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Usitetee ujinga brother. Rais amepotoka!

Hakuna utani wa kijinga kama ule!

Kama alifikiri anachekesha, mwambie amepotoka na amekosea!
 
Mhhh Basi huu utani wake hauna busara kila siku unahusu mapenzi!
Huyu mpaka 2025 atakuwa anakosolewa na hao wakosoaji hakuna watakachoweza kubadilisha.

Hatuwezi kuwa na tabia zinazofanana na haitatokea tukaja kufanana. Ukishauelewa huo ukweli itakuwa rahisi maishani mwako kuishi na watu wasiofanana na wewe kitabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…