Rais Magufuli, umewadhalilisha sana wanawake weusi nchini

Wanawake wengi mwaka huu hawatamchagua kwa ubaguzi na kejeli alizowafanyia.
 
Yaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana

Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?

Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Matani mengine hapana
Utani wa wanawake tuuuuuu
Ila sipotezi kujadili hili
Mtawala anafurahisha genge si wa kumind saaana
Ako na shida kwa engine
Tujadili ya muhimu hili la kupuuza
 
Ivi kalolaiti bei gani?wote tuwe weupe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Elfu saba kopo kubwa. Nimetoka kuinunua hapa....nimechoka kunyanyapaliwa kwenye nchi yangu mwenyewe
 
Wewe ni mwanamke mweusi?,pole sana ,rais alikua anafanya utani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…