Rais Magufuli, umewadhalilisha sana wanawake weusi nchini

[emoji16][emoji16][emoji16] kwamba unaweza kutambua mtu mtamu kwa kumwangalia tu?
Eehh kuepuka mvunjiko wa moyo...

Ikabidi niwe na uwezo wa kuona hiki kitamu iki si kitamu.

Sasa mpaka natongoza basi ni kitamu 100%
 
Hoja hamna kazi yenu ni kushadadia vitu visivyo vya msingi
 
Yaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana

Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?

Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango


Hatujamuajiri rais afanye utani.
Kwanza sio mtani wa kila mtu.

Mambo kama unataka kupanuliwa mpaka wapi, unalia vizuri kama uko na mumeo, weupe ndio nawasikiliza zaidi na ile ya kumwambia mwanaume aliyemwambia aliota last night akamjibu uliota tukiwa chumbani ni kauli sizizotakiwa zitoke kwa mfanyakazi wetu aliyepita akiomba kura/kazi 2015 akapewa.

So sio kauli za kuongea hadharani.
 
Mambo kama haya. Ndio leo hii yamewapa kampeni ngumu ambazo hamkutegemea .
Hakuna kampeni nyepesi kama hizi sasa, maana hakuna ushindani kuna upinzani, kama kujenga hoja kwenu ni shida mnaishia kushadadia mambo na kutukana. Uchaguzi mwepesi sana huu
 
Yaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana

Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?

Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Kwani alishindwa kufanya utani unaojenga nchi?Kwa nini huwa anafanya utani wenye viashiria vya ukabila,ukanda,ubaguzi,unyanyasaji wa kijinsia,kugawa watu,udini,e.t.c.Kwa nini asifanye utani wenye viashiria vya kujenga amani,uhuru,haki,usawa,maendeleo,etc?
 
Hakuna kampeni nyepesi kama hizi sasa, maana hakuna ushindani kuna upinzani, kama kujenga hoja kwenu ni shida mnaishia kushadadia mambo na kutukana. Uchaguzi mwepesi sana huu
Hahahaa nyepesi sababu mmeamua kushirikisha Jeshi la Polisi, Tume ya Uchaguzi au sio?????


Hoja gan unataka kama kweli umesoma Ilan ya Chama makini CHADEMA.



Mwambie aache ushamba na Uzumbukuku.
 
Anatania?!Kwani alishindwa kufanya utani unaojenga nchi?Kwa nini huwa anafanya utani wenye viashiria vya ukabila,ukanda,ubaguzi,unyanyasaji wa kijinsia,kugawa watu,udini,e.t.c.Kwa nini asifanye utani wenye viashiria vya kujenga amani,uhuru,haki,usawa,maendeleo,etc?
 
Huyu jamaa sio mzima kichwani, miaka mitano imemtosha tumemfahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…