mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Hivi majuzi wakati Mhe. Rais akiwa anaeklekea Morogoro alisimama sehemu fulani na mmoja wa raia, mwanamke mmoja akamlalamikia Rais kuhusu mwenyekiti wa Saccos yao ambaye amekimbia na pesa zao.
Rais alipomuuliza yule mama jina la Mwenyekiti ni nani na kuambiwa kwamba ni Mushi alitoa matamko yaliyoonyesha mtazamo hasi dhidi ya wachaga. Alikaririwa akisema "..... nyie mnajua huyu anaitwa Mushi (akimaanisha "mchaga) halafu mnamwamini na pesa zenu....."
Kwa maoni yangu Rais hakutakiwa kutoa kauli kama ile. It was not Presidential. Kuna watu wengi wamefanya kile Mushi alichofanya na watu hao si wachaga. Utakuta wengine ni wasukuma.
Kauli ya Mh Rais ilinisikitisha sana japo mimi si Mchaga.