Nilienda duka moja kununua kabati la kuhifadhia nguo,dukani kwa mosha nilivofika nikakutana na muuzaji akanionyesha sample na baada ya kumaliza kuangalia sample nikachagua kabati moja ambalo ni milango miwili then muuzaji akaenda stoo akachukua aina ya kabati ambalo nilichagua ila ilikua packaged so nikalipakiza kwenye gari mpaka home soon nilivofika nyumbani nikamuita fundi ili alifunge,baada ya fundi kuja tukagundua kua kabati nililopewa sio lile ambalo nilichagua sbb nililopewa llkua la milango mitatu lkn pia lilikua halijatimia
So baada ya kugundua hivo ikabidi niwapigie pale dukani kuwaueleza,alichojibu muuzaji aliniambia kua yeye kanipatia kabati ambalo nimechagua kwahiyo hilo yeye alitambui na nilijaribu kuongeanae sana lkn alikataa kabisa kunielewa
Nikaenda kituo cha polisi nikatoa maelezo then nikapewa RB nikaenda mpaka pale dukani nikamkuta yule alieniuzia nikamwambia unahitajika kituo cha polisi jamaa alikataa ikabidi nirudi kituo cha polisi nikawapa mrejesho,ikabidi askari wampigie simu boss ambae anamiliki duka "mosha",duh!! jamaa aliwaongelea shit wale askari kitu ambacho kiliwaudhi sana askari wakampa nusu saa kama hatokuja basi watamfata wao huko aliko basi baada ya nusu saa mosha akaja then akaambiwa anibadilishie lile kabati au arudishe pesa na kama atabadilisha kabati alipe gharama ya kulirudisha dukani kwake na kulisafirisha tena mpaka nyumbani kwangu so ikabidi mosha abadilishe kabati
Pamoja na visa vingine kutoka kwa wachaga nikaamini kua hawa jamaa sio waaminifu pia wanawachukulia wenzao kama watu wasiofaa/wasiojielewa na wanathamini pesa kuliko utu MOST OF THEM NDIO WAKO HIVO ila wanasema malipo yanaanzia hapa hapa duniani na taratibu tunaona wanavonyooshwa
Ila mungu wasamehe,mungu atusamehe kwa dhambi zetu