Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Wasukuma sio kabisa la wenye chuki na mafanikio ya yeyote. Sio ma minder!. Sisi ni don't mind, don't care and don't give a dam, jirani ana nini!. Naweza kuwa na baiskeli tuu nikairemba hadi kuifunga redio, na nikaipenda baiskeli yangu mpaka basi, unaweza usiamini, hata nikipewa bure gari, sikubali, ni mimi na baiskeli yangu tuu!.
P
Wasukuma ni wakabila nilikuwa sijui.
 
Ukishakuwa public figure achana na utani wa kinga na usiwaangalie watu kwa hicho la kikabila,ukiwa kiongozi everything come out of your mouth is interpreted
 
Tutengwe mara ngapi bob? Angali serikali yote hakuna mtumishi anaetoka kanda yote ya kaz. Sehem zote ni wasukuma tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania tuna makabila zaidi ya 125, nyinyi tu ndio mnalalamika bado mtu kwenye system kama Katibu mkuu wizara ya Maliasili mkuu wa mkoa wa Tabora, mkuu wa wilaya Morogoro somebody Chonjo na wengine wengi. Acha ukabila tafadhali.!
 
Fair,
Kwakweli hapo haujanukuu alichokisema bali umeunganisha hisia na tafsiri zako. Kwa nilivyomsikiliza rais akiongea mubashara, alisema hawa akina mushimushi kwanini mnawapa hela, bora mngewapa wapare. Hata hivyo, bila rais kusema, binafsi ili nimuamini mushi kutunza hela yetu, lazima kuweka mkakati mkubwa.
 
Kuna haja ya badhi ya wachaga walioharibu sifa yao ya kijamii na kusababisha kuonekana walafi wa fedha kuanza kubadilika kitabia, pia wale wachaga wema kama akina mzee Mosha na Shangazi Manka kumbukeni kuwaaambia vijana wa kichaga wasidhulumu wenzao. Poleni kwa hilo.
 
Halafu sio Mtani wetu inamaana kaamaanisha.Ila tushukuru na kusikitika VICOBA mwisho June mkajisalili na kama mnakopeshana mwende BOT mkalipie na kufuata masharti ili mdhamini akikimbia na hela basi sheria ifanye kazi .Mushi rudisha hela za watu ,mchagga wewe unatutia aibu
Wewe umetiwa aibu na nani? Una hakika gani kuwa Mushi amechukua hiyo pesa? Hao askari wote wajinga wasimkamate huyo mama kwamba yeye yupo juu ya sheria. Kila kitu kina chanzo ndugu na hakuna aliyepewa dhamana kuwakilisha wachaga wote matendo ya mama huyo hayana baraka za wachaga wote,

Na wewe unakubali kuingia kwenye hili genge la ukabila?

Kwani Balali alivyotoroka na matrilioni ya shilingi kuna mtu alilenga kabila lake? Au Kangi? Au watu wa richmond? Ila sasa hapa kwa Mushi na pesa ya vikoba mnaona ndio pakutolea sumu zenu za kibaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr Big, Acha kujibu hoja kirahisi hivyo

Hii sio mara ya kwanza kwa mtu mwenye ushawishi mkubwa mno katika taifa hili kuongea maneno kama haya.

Aliongea Bashite saivi kaongea huyu Meko, je kesho yetu ni ipi? Mmetumaliza serikalini, mashirika ya umma mnazidi kutupukutisha, hata hii vikoba nnasema tusipewe tena



Sent using Jamii Forums mobile app
 
nasikia kuna utafiti ulifanyika hospitali , sasa kila baada ya mgonjwa mmoja madaktari wakawa wanawaweka hawa ndugu zetu.

sasa baadae wakawachoma sindano za kupooza kwa muda HALAFU wakadondosha chini hela nyingi, kisha wakaanza kutaka kupima mapigo ya mayo.

sasa daktari akifika na kifaa kwa hawa ndugu zangu, ilikuwa wala hana haja ya kutumia kifaa maalumu kupima mapigo ya moyo, yaani unayasikia hata ukiwa mbali ni; RWUU RWUUU, RWUUU, RWUUU yeleuwuiiii
 
Hapa kuna watu wanataka kulazimisha maji yapande mlima.

Na kwa bahati mbaya magu hawezagi kudanganya au kurembesharembesha maneno..

Tatizo la hawa jamaa wale watangulizi wao (wale waliotoka uchaggani kwenda mikoa mingne kutafuta maisha miaka ya nyuma) inaelekea walionesha tabia za ukauzu sana kiasi watu wakawaogopa sana.

Kwetu inajulikana kabisa ukitaka msala basi kaa karibu na hawa jamaa.
Tunawahesabu kama ni masadisti/wakatili wasio na chembe ya utu.

Wengne tumekuwa tumeyakuta haya.

Kwetu ukitaka kuolewa/kuoa na mchagga labda uwadanganye hao wazazi vnginevo hawakubali kirahisi. Kuna mchagga alinambia hata wao huko kwao wanabaguana, hawaoani tu so inawezekana hata kati yao wenyewe kwa wenyewe wanajuana kuna mabandidu zaidi.

Chuki dhidi ya Wachagaa imetengenezwa na wachagga wenyewe.

Msema ukweli mpenzi wa mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ujinga wa hali ya juu kunasibisha matendo ya mtu na kabila lake.
Ni kweli kabisa kuwa Uchagga na Pesa ni vitu wiwili marafiki wa kweli.
Tusijidanganye furaha ya mchagga ni kukamata pesa kwa wingi haijalishi zinapatikanaje ili mradi ni pesa..!!!
Mkuu usikanushe ingawa kwa sasa inaenda inabadilika kidogo kidogo.
 
Wanajamvi, kuna ndugu yangu ambaye aliajiriwa serikalini na aliwahi kusoma na Magufuli Mlimani na pia JKT kama ilvyokuwa mandatory.

Ndugu yangu alitoa simulizi kwamba wachagga walikuwa juu lakini wajanja wajanja sana. Mfano walipata sifa wasizostahili huko mashambani walioko pelekwa kulima kwasababu ya hiyo janja janja.

wakati mashamba yakikaguliwa, wenyewe walipewa sifa sana, lakini Maghufuli hakupenda kwasababu alifahamu kuhusu hiyo janja. Kwahiyo walikuwa wakikaguliwa, panaonekana pazuri sana haswa kwenye palizi, lakini kumbe katikati ya shamba hawajagusa. Hivyo Magu akawa anawachomea!

Kwasababu Magu mwenyewe inasemekana alikuwa hajui kutegea na ni mtu mwenye kupenda kusifiwa. Yeye ilikuwa akiinama mwanzo wa mstari, akija kuinuka ni mwisho wa msitari, yeye alikuwa hategei na wengine wakawa wanamuona kama ni snitch flani hivi.

Akiinama na jembe ni mpaka mwisho wa shamba hainuki, na anahakikisha amepalia kote. Kwahiyo kuanzia hapo akawa hapendi wachagga kutokana na imani yake kuanzia huko jeshini.

Ndugu yangu huyo ndiye aliyenipa hiyo story, sasa sijui kuhusu usahihi wake. Labda kama kuna wenye insight zaidi. Binafsi sidhani kama hiyo ni sababu ya ukabila.
 
Back
Top Bottom