jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Wasukuma ni wakabila nilikuwa sijui.Wasukuma sio kabisa la wenye chuki na mafanikio ya yeyote. Sio ma minder!. Sisi ni don't mind, don't care and don't give a dam, jirani ana nini!. Naweza kuwa na baiskeli tuu nikairemba hadi kuifunga redio, na nikaipenda baiskeli yangu mpaka basi, unaweza usiamini, hata nikipewa bure gari, sikubali, ni mimi na baiskeli yangu tuu!.
P