Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Wanabodi,

Asalam aleikum!

Kwa muda mrefu sasa zile hisia na dhana ya Rais Magufuli kulichukia kabila hili la Wachaga sasa amedhihirisha jana.

Pamoja na kwamba alikuwa anaongea kwa utani lakini hilo ndilo liko moyoni kwake ila hakupata sehemu pa kulisemea.

Katika clip hii ambayo Mama mmoja aliyekuwa akilalamika kuwa wametapeliwa kwenye umoja wa vikoba vyao na Grace Mushi, kitu ambacho kilimfurahisha Rais kusikia aliyemtapeli ni Mchaga.

Rais alienda mbali zaidi kwa kumlaumu Mama huyu kuwa kwanini walimpa dhamana huyu dada wa Kichagga awahifadhie hela?

Pamoja na kwamba alikuwa akiongea kwa utani, lakini alionekana wazi wazi akishadadia kuwa Wachaga si watu wazuri na wakuwamini katika fedha.

Nina wasiwasi tukio hili ni la kutengeneza ili upate sehemu ya kulinanga kabila hili.

Tunaomba utuombe radhi mara moja.

Nimeshangaa sana kwa Rais wa nchi kutamka jambo mithili ya Msela wa Manzese kwa mfuga mbwa !
 
Utani huo. Na kila mtu anajua utani wa namna hiyo. Kila siku JPM anawatinia Wahehe na Wagogo, wazaramu. Tanzania ni udugu wa utani
Wanabodi,

Asalam aleikum!

Kwa muda mrefu sasa zile hisia na dhana ya Rais Magufuli kulichukia kabila hili la Wachaga sasa amedhihirisha jana.

Pamoja na kwamba alikuwa anaongea kwa utani lakini hilo ndilo liko moyoni kwake ila hakupata sehemu pa kulisemea.

Katika clip hii ambayo Mama mmoja aliyekuwa akilalamika kuwa wametapeliwa kwenye umoja wa vikoba vyao na Grace Mushi, kitu ambacho kilimfurahisha Rais kusikia aliyemtapeli ni Mchaga.

Rais alienda mbali zaidi kwa kumlaumu Mama huyu kuwa kwanini walimpa dhamana huyu dada wa Kichagga awahifadhie hela?

Pamoja na kwamba alikuwa akiongea kwa utani, lakini alionekana wazi wazi akishadadia kuwa Wachaga si watu wazuri na wakuwamini katika fedha.

Nina wasiwasi tukio hili ni la kutengeneza ili upate sehemu ya kulinanga kabila hili.

Tunaomba utuombe radhi mara moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila siku anavotania wahehe wanajinyonga au wagogo etc, wachaga mna usen. ge flan wa kulalamika
 
Kweli wachaga kwa hela usimuamini kabisa hata kama ni kidogo. Haya mengine me sisemi
 
Sasa na nyinyi wachaga si mbadilke? tatizo mnaona kuwa matapeli,kujifanya mnapenda sana pesa ni ujanja.Huo ndoo upumbavuu tafuta pesa yako ya halali na achana na ubabaishaji.Alafu mnajifanyaga mnaenda makanisani sijui kufanya nini wakati matapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachagga ni Akili kubwa wanaendesha shirika la ndege nchini.

Ni Akili kubwa wanatoa mtu tajiri kuliko kabila lolote nchini.

Ni Akili kubwa wanamiliki shule nyingi kuliko mkoa wowote Tanzania.

Ni Akili kubwa wana makazi bora vijijini kuliko sehemu yoyote nchini.

Ni Akili kubwa wanatoa waasisi wa vyama vya upinzani kuliko mkoa wowote nchini.

Ni Akili kubwa wanaleta maendeleo ya miundombinu yao kwa pesa zao kuliko kusubiri serikali.

Ni Akili kubwa walipigwa vita vya kielimu chaajabu wakafanikiwa sana kutegua hicho kikwazo na kupiga hatua mara dufu kwenye sekta ya elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni matumaini yangu unatambua Tanzania ni third world country hamna uchumi wowote wa maana wa kujisifia kwenye hii nchi wala hamna kabila lenye akili kuliko jingine mnapoteza muda tu. Mbaya zaidi majivuno yenu yanakaribisha chuki dhidi yenu ambazo ni baseless kiuhalisia ni maskini kama makabila mengine. Wachaga acheni sifa za kitoto na Watanzania wengine acheni kuwachukia wachaga ambao kiuhalisia wapo hoi (kifedha na kiakili) kama nyie tu.
 
Mkuu msipobadilika mkaacha wizi kamwe madaraka makubwa ya nchi hii mtayasikia tu. Siyo siri, kuna Dr wa kabila la wachaga toka chuo fulani aliwatapeli wanafunzi. Yaani yeye ni kibosile kwenye kitu fulani so kwenye selection ya wanafunzi ili waende kwenye shindano fulani yeye akawa anawatoza wale watoto hela. Wachaga ni smart kwa kuiba na hii inatokana na watangulizi wenu kuwa wezi na kurejesha hela za wizi uchagani hivyo ni mashindano kwenda mbele. Hatukatai wapo wachaga waaminifu sana hata ktk serikali ya awamu ya 5, ila kuna wachaga wachache ni wezi na wanapendeleana kwa ukabila waziwazi, mfano kulikuwa na mchaga mmoja shirika moja alikuwa mtu wa ajabu sana yaani aliwapa ajira wachaga tu, tena huku anajigamba kusema lazima wachaga wapewe kazi, ila uzuri alishafukuzwa kazi sasa anaisoma namba mjinga kabisa.
Mkuu,Katika makabila 125 ya Tanzania ni kabila gani halina wezi na Mafisadi?

Hebu Tiririka kwa mujibu wa Scandals zilizowahi kutokea nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani msimlaumu Magu ni kweli wachaga kwa issue ya fedha hamuaminiki.Mko tayari kuua kwa ajili ya fedha
Hili liko wazi kwa Kila mtanzania na Wala hamjinasui.Kwenye ukabila mko na ushahidi uko tena wa wazi hivyo msimlaumu raisi kaeni kimywa mjitafakari wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningetamani kusikia visa vya kweli vya wizi na ufisadi uliofanyika na Wachaga..Weka wazi Kiongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom