Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Nilishawahi kuwa na kamanzi ka kichagga, kana umri kama miaka 20 hivi, ila kapo speed balaa na maswala ya pesa. Yaani ukikaa nae unamuona anawaza pesa tu muda wote hadi anaboa sijui wanatoa wapi hii tabia ya tamaa ya pesa.

Kuna siku nimekwenda nako Fuel station, kufika nikawa naweka mafuta ya Full tank kwaajiri ya wiki nzima (Gari yangu ni ndogo tu) ...... So kaka sikia ninavyoongea na muhudumu na kakachungulia amount iliyosoma..... Yuko heeeeh yaani unaweka mafuta ya 87,000?! Nikamwambia yeah inanisave bajeti ya mafuta kwa wiki nzima na ni nzuri kwa afya ya gari.

Ghafla akawa mpole kma mtu anaetafakari jambo zito. Sasa nimekwenda nako maskani nikakapiga piston, nikakarejesha kwake.

Kesho asubuhi ananitext kuwa ametoka hospitali na hajisikii poa, ila ameandikiwa dawa na gharama za matibabu ya UTI na vidonda vya tumbo. Amelipia tayari ya matibabu tu ila ya prescription hajalipia. Nikamuuliza bili ya prescription ni ngapi ananiambia ni 50,000. Mmmmmmmmhmn nikaguna, nikamwambia hiyo 50,000 inalipia nini na nini?!

Akaanza babaika kujibu kwa kigugumizi. Nikamwambia subiri nakutumia. Aaaaaah nikachuna wiki..... Akanitext "yaani una roho mbaya sana, sasa ikitokea umeoa huyo mkeo si atafia nyumbani akiwa anayumwa" nikajaribu kumtuliza akaanza kuniletea tantrums za kikorea akitaka tuanze bembelezana na upuuzi mwingineo.......

Sikujibu chochote nikala bati hadi leo....... But nikaona ile nature yao mabinti wa kichagga kujifanya pesa wanaijua sana.... Alinikera balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyewe umesha sema anaongea kwa utani halafu tena unasema liko moyoni mwake utadhani umeingia huko moyoni mwake,siyo kila kitu ni lazima uchambue chambue maneno ya mtu..utani wa wachaga kua wajanja wajanja upo sana na sometimes siyo utani tu ni ukweli,hii iko midomoni mwa waTanzania wengi kwa miaka mingi kiasi hupaswi kustuka sasa hv eti tu kwa sababu amesema Rais,hapo unaathilika nini?kama wewe ni mchaga anza kufundisha wanao kutokua wajanja wajanja ili kizazi kijacho kiwe kimefuta fedheha yenu ya kikabila
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Nashauri kila anayechangia huu uzi akumbuke yaliyotokea Ujerumani ya Hitler, USSR ya Stalin na hapo jirani Rwanda 1994.
Mzaha mzaha hutumbukia usaha.

Kwamba wachaga ni wezi ni utani wa jadi ambao umepitwa na wakati lakini naona watu wakiuchukulia kwa hisia kali na wakiwa tayari kuhukumu.

Ni vizuri tujikumbushe kuwa hakuna jinai ya makundi( collective crime) zaidi ya kuhalalisha kumwua mbwa kwa kumpa jina baya.
 
Mbona wote ndio wako hivyo hao wachaga
 
Upo Vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hao wanaotuibia miaka yote hii wao vipi? wana baraka zenu au sio?
 
we angalia tu chadema ilivyojaa wachaga,check wanavyotafuna ruzuku kama mchwa.
 
Kushabikia ukabila wa chuki against kabila jingine si uungwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…