Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Mm nilikuwa mtu wa kukaa sana na watu tofauti tofauti na nilikuwa na akili mgando ila tokea nimekutana na wadau flan k.koo wachaga najikuta kichwa yangu inaenda resi kutafuta ela yan hawa jamaa ni wajanja kuona fursa na 75% ya maongezi yao ni ela na najivunia kukutana na hawa raia mpaka najiuliza hivi ni kitu gani ipo ndani ya hawa watu. Na ukweli ni kwamba sijawahi kuwaona wakimuibia mtu au wakimzulumu mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni post sahihi kabisa.
Tatizo lenu ndilo hili, kujifanya bora kuliko wengine kiasi kwamba mtu asiyefahamu akisikia stori za Wachaga anaweza kuamini majority ni mambo safi wakati ukweli ni kwamba, majority wala hawana tofauti na Watanzania wengine! Matokeo yake sasa, mkikutana na pride people kama Jiwe lazima awachukie tu na majigambo yenu yanayolenga kujionesha mpo upper class na wengine wote ni watu duni!!!

Jifunzeni kwa Wahaya! Miaka ya nyuma Wahaya walikuwa na huu ujinga! Yaani ilikuwa Wasomi wao, walioenda Ulaya na Marekani wao, wanaomiliki Benzi wao; yaani kila kitu wao hadi na Wahaya wale wenzangu na mimi na wao wakajisahau na kubaki kujivunia pride ya Uhaya! Kuja kushituka, leo hii Kagera ni miongoni mwa mikoa ya hovyo kabisa sio tu kwa elimu waliyokuwa wanatambia kuwa nayo bali hata kiuchumi!!!

I respect hustles za Wachaga katika kutafuta, hususani hustle za baba zenu katika kupeleka watoto shule lakini hii tabia ya watoto wao ambao bila shaka ndie nyie mliyerithi tabia za Kihaya na kujiona bora kuliko wengine wakati hao waliofanikiwa ni wachache tu, ni tabia inayowafanya wengine wawachukie kwa sababu kwa hulka ya binadamu, hata kama kweli yeye ni duni, katu hawezi kuwa tayari kuona anadharauliwa kwa kutumia uduni wake! Tabia za kujiona "sisi" na "wao" ndio huzalisha strata kwenye jamii! Unfortunately, kwa Afrika wa sasa sio rahisi kuwa na strata za kiuchumi kwa sababu pamoja na majigambo yenu, majority ni maskini! Sasa kwavile sio rahisi kuwa na strata za kiuchumi, "umimi" kwa Afrika ni kiwanda kizuri cha kutengeneza Ukabila!!!

Na huu umimi kwa sasa upo wazi sana kutoka kwenu, ndo maana pamoja na Magufuli kulalamikiwa ukabila, ni Wachaga ndio mara kwa mara huwa wanajitokeza kwamba Magufuli anawachukia Wachagga as if huyo Magu ana mahaba na hayo makabila mengine! Wakati watu wakimlalamikia Magufuli habari za Ukanda, ni Wachaga ndio mara kwa mara hujitokeza kumlalamikia Magufuli kwamba hawapendi Wachagga as if hiyo kanda inayosemekana Magufuli anaipendelea ina makabila yote except Wachaga!!!

Kwa tabia yenu hii ya ubinafsi, kuna kila dalili ndio nyinyi nyinyi mliokuwa mnaomshutumu Kikwete kwa udini! Lakini kwavile Magufuli ni mtu wa dini yenu, mmeachana na tuhuma za udini na kujikita kwenye masuala ya ukabila!!!

Na kwa hulka yenu hii, hata siku Tanzania Rais akija kuwa Mchaga, mtahamia kwenye strata zingine ndani ya huo huo Uchagga! Mtaleta habari za Mchaga wa Rombo, Mchaga wa Machame, Mchaga wa porini, Mchagga wa Mjini, wale akina Thadei ni maskini tu wale, n.k!

Mbaya zaidi, kwa nchi kama Tanzania you can't survive alone as Chagga kwa sababu pamoja na hao wengine mnaowadharau, wapo baadhi yao waliopatia maisha na hata kuwa na nafasi za kufanya maamuzi! Hicho kiburi chenu cha kujiona you're simply the best hakina faida yoyote zaidi ya wale wasio nyinyi baadhi yao kuanza kuwachukia! Na ikitokea hao wa kuwachukia ni wenye kufanya maamuzi, ndo pale unakuta mtu anaitupa CV kwa sababu tu wewe ni Mchaga ambae amechoshwa na majigambo na fahari zenu!!!

Tena bora hata kwa wale wanaoleta fahari ya Kichaga mbele ya akina Mwajuma Ndala Ndefu mpwa wake na Mzee Mbonde ambae kaka yao mkubwa ameolea Upogoroni! Nyie wa mitandaoni mnaowaletea umachinoo wengine ni wasomi kama nyinyi, tena si ajabu hata kuwazidi! Wengine wana uwezo mkubwa kama nyinyi tena pengine hata kuwazidi!! Sasa ndo ukute wale wa "...utakula majivuno yako"; je hajakuchinjia baharini kisa tu your surname is Massawe and s/he's experience with the "Massawes" wakati maskini ya Mungu si ajabu Massawe huyu wala sio miongoni mwa wale wa kujiona wao ndio wao na wengine wote mapopo!!!

So, punguzeni ushamba na ulimbukeni manake ninachokiona kwa baadhi yenu ni ushamba tu na ulimbukeni kwa sababu asiye mshamba na limbukeni anafahamu uhalisia! Anafahamu kwamba hao waliofanikiwa is just a drop of water in the ocean na majority ni sawa na Watanzania wengine mnaowadharau na kuwaona hawajasoma wala hawajui kutafuta ingawaje sijawahi hata siku moja kusikia Wachaga wameenda kutoa msaada kwa maskini Wagogo mkoani Dodoma! Sasa kama na wao hawatafuti sijui wanaishi vp ikiwa hao watafutaji hatujawasikia wakienda kutoa misaada kwa hao wapiga usingizi badala ya kutafuta!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nilikuwa mtu wa kukaa sana na watu tofauti tofauti na nilikuwa na akili mgando ila tokea nimekutana na wadau flan k.koo wachaga najikuta kichwa yangu inaenda resi kutafuta ela yan hawa jamaa ni wajanja kuona fursa na 75% ya maongezi yao ni ela na najivunia kukutana na hawa raia mpaka najiuliza hivi ni kitu gani ipo ndani ya hawa watu. Na ukweli ni kwamba sijawahi kuwaona wakimuibia mtu au wakimzulumu mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu endelea hivyohvyo utaleta mrejesho hapa.
 
Ukienda vijiwe vingi vya kiswahili utakuta maongezi ni madem,bata zisizo na mpango huwez kuta wanaongelea mipango ya hela kupeana ramani hata siku moja
Mm nilikuwa mtu wa kukaa sana na watu tofauti tofauti na nilikuwa na akili mgando ila tokea nimekutana na wadau flan k.koo wachaga najikuta kichwa yangu inaenda resi kutafuta ela yan hawa jamaa ni wajanja kuona fursa na 75% ya maongezi yao ni ela na najivunia kukutana na hawa raia mpaka najiuliza hivi ni kitu gani ipo ndani ya hawa watu. Na ukweli ni kwamba sijawahi kuwaona wakimuibia mtu au wakimzulumu mtu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye alikuwa mjinga wewe umekua mpumbavu.
Mkuu nchi hii wachaga katika awamu zote wamekua ktk nafasi nzuri tu, sasa awamu ya jiwe ndo pekee hawapendi wachaga kwa kua akiwa anasoma chuo wachaga walimzidi sana akili darasani.
Awamu hii ikiisha atakuja kiongozi mwingine na maisha yatakwenda, ila wasukuma tutakoma,
Kwanza kina mjombake Dotto magereza inamngoja, jiwe sjui ataishi wapi
Mkuu msipobadilika mkaacha wizi kamwe madaraka makubwa ya nchi hii mtayasikia tu. Siyo siri, kuna Dr wa kabila la wachaga toka chuo fulani aliwatapeli wanafunzi. Yaani yeye ni kibosile kwenye kitu fulani so kwenye selection ya wanafunzi ili waende kwenye shindano fulani yeye akawa anawatoza wale watoto hela. Wachaga ni smart kwa kuiba na hii inatokana na watangulizi wenu kuwa wezi na kurejesha hela za wizi uchagani hivyo ni mashindano kwenda mbele. Hatukatai wapo wachaga waaminifu sana hata ktk serikali ya awamu ya 5, ila kuna wachaga wachache ni wezi na wanapendeleana kwa ukabila waziwazi, mfano kulikuwa na mchaga mmoja shirika moja alikuwa mtu wa ajabu sana yaani aliwapa ajira wachaga tu, tena huku anajigamba kusema lazima wachaga wapewe kazi, ila uzuri alishafukuzwa kazi sasa anaisoma namba mjinga kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona humu ndani Wachaga mnajitapa sana nyie ndo mna akili sana kuliko makabila mengine nchi hii ,Kwahiyo wengine sisi ni wajinga ,kwa kauli zenu za kibaguzi kama hizi nimeanza kuwachukia maana nyie ni watu wenye ukabila usiojificha na hata alilosema rais sio siri kila mtz anajua hilo lakini naona mmetengeneza uzi kuja kutukana wasukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom