Sasa Historia ya Mkoa wa Kagera
Hoja hapa ni tabia ya baadhi ya jamii kujiona bora kuliko wengine! Sasa hayo majanga uliyotaja ndiyo yamewafanya Wahaya hivi sasa kupunguza yale majigambo yasiyo na maana hadi yakawa yanapelekea baadhi ya watu wawachukie, au?!! Back in the days Wahaya walikuwa wanasakamwa sana kuliko Wachaga lakini hivi sasa Wachaga ndio wanaosakamwa zaidi kuliko Wahaya!! Na usakamaji huu mara zote umekuwa ukitokea kutokana na tabia za hawa watu!!!
Nawajua Wahaya vizuri sana kwa sababu, mosi nimeishi nao mlango kwa mlango for years, na pili, shemeji yangu wa kike ni Mhaya, na tatu back in the days nilikuwa na demu Mhaya!!! Ni rahisi kwako kusema kwavile labda wewe ni Mhaya basi unawafahamu vizuri Wahaya kuliko mimi lakini kama wewe ni Mhaya, huwezi kuletewa ujuaji na Mhaya mwenzako kwa sababu you're flying with the same feather na kwahiyo huwezi kuiona hiyo hitilafu! Kinyume chake, yule asiye Mhaya ndie anayeweza kuyaona hayo mapungufu! Kwa mfano, ashakum si matusi, hivi zamani mtu asiye Mhaya akisema ameoa Mhaya watu walikuwa wanamshangaa na wengine kumwambia wazi "utaoaje Mhaya wewe"; je Wahaya kwa Wahaya mlikuwa mnashangaana kisa tu Peter Ishengoma kamuoa Easther Rutabangira?!
Sijui una umri gani lakini naona Wahaya wa siku hizi wamejitahidi sana kupunguza zile tambo za kijinga kijinga za kujiona wao ni bora! Hata Dar es salaam kwa mfano, Umalaya ulikuwa unahusishwa sana na Wahaya si kwa sababu wao ndo walikuwa Malaya sana kuliko wengine bali ilikuwa ni kama njia ya watu ku-retaliate na kutoa ujumbe kwao kwamba "...msituletee ujuaji hapa wakati dadazenu wanaishi kwa kuuza K"! Na ukweli mwingine ndo huo hata waliokuwa wanaleta ufahari, wengine wengi tu walikuwa wameishia "darasa la pili" lakini atajitia ujuaji kwa ajili ya akina "Ishengoma" wachache!!!