Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Du blaza kwani lazima utuanike hivi?
Tumekukosea nini mbona umeongea kwa hasira kali.

Leo ndo ninaamini wachaga hatupendwi
Tatizo lenu ndilo hili, kujifanya bora kuliko wengine kiasi kwamba mtu asiyefahamu akisikia stori za Wachaga anaweza kuamini majority ni mambo safi wakati ukweli ni kwamba, majority wala hawana tofauti na Watanzania wengine! Matokeo yake sasa, mkikutana na pride people kama Jiwe lazima awachukie tu na majigambo yenu yanayolenga kujionesha mpo upper class na wengine wote ni watu duni!!!

Jifunzeni kwa Wahaya! Miaka ya nyuma Wahaya walikuwa na huu ujinga! Yaani ilikuwa Wasomi wao, walioenda Ulaya na Marekani wao, wanaomiliki Benzi wao; yaani kila kitu wao hadi na Wahaya wale wenzangu na mimi na wao wakajisahau na kubaki kujivunia pride ya Uhaya! Kuja kushituka, leo hii Kagera ni miongoni mwa mikoa ya hovyo kabisa sio tu kwa elimu waliyokuwa wanatambia kuwa nayo bali hata kiuchumi!!!

I respect hustles za Wachaga katika kutafuta, hususani hustle za baba zenu katika kupeleka watoto shule lakini hii tabia ya watoto wao ambao bila shaka ndie nyie mliyerithi tabia za Kihaya na kujiona bora kuliko wengine wakati hao waliofanikiwa ni wachache tu, ni tabia inayowafanya wengine wawachukie kwa sababu kwa hulka ya binadamu, hata kama kweli yeye ni duni, katu hawezi kuwa tayari kuona anadharauliwa kwa kutumia uduni wake! Tabia za kujiona "sisi" na "wao" ndio huzalisha strata kwenye jamii! Unfortunately, kwa Afrika wa sasa sio rahisi kuwa na strata za kiuchumi kwa sababu pamoja na majigambo yenu, majority ni maskini! Sasa kwavile sio rahisi kuwa na strata za kiuchumi, "umimi" kwa Afrika ni kiwanda kizuri cha kutengeneza Ukabila!!!

Na huu umimi kwa sasa upo wazi sana kutoka kwenu, ndo maana pamoja na Magufuli kulalamikiwa ukabila, ni Wachaga ndio mara kwa mara huwa wanajitokeza kwamba Magufuli anawachukia Wachagga as if huyo Magu ana mahaba na hayo makabila mengine! Wakati watu wakimlalamikia Magufuli habari za Ukanda, ni Wachaga ndio mara kwa mara hujitokeza kumlalamikia Magufuli kwamba hawapendi Wachagga as if hiyo kanda inayosemekana Magufuli anaipendelea ina makabila yote except Wachaga!!!

Kwa tabia yenu hii ya ubinafsi, kuna kila dalili ndio nyinyi nyinyi mliokuwa mnaomshutumu Kikwete kwa udini! Lakini kwavile Magufuli ni mtu wa dini yenu, mmeachana na tuhuma za udini na kujikita kwenye masuala ya ukabila!!!

Na kwa hulka yenu hii, hata siku Tanzania Rais akija kuwa Mchaga, mtahamia kwenye strata zingine ndani ya huo huo Uchagga! Mtaleta habari za Mchaga wa Rombo, Mchaga wa Machame, Mchaga wa porini, Mchagga wa Mjini, wale akina Thadei ni maskini tu wale, n.k!

Mbaya zaidi, kwa nchi kama Tanzania you can't survive alone as Chagga kwa sababu pamoja na hao wengine mnaowadharau, wapo baadhi yao waliopatia maisha na hata kuwa na nafasi za kufanya maamuzi! Hicho kiburi chenu cha kujiona you're simply the best hakina faida yoyote zaidi ya wale wasio nyinyi baadhi yao kuanza kuwachukia! Na ikitokea hao wa kuwachukia ni wenye kufanya maamuzi, ndo pale unakuta mtu anaitupa CV kwa sababu tu wewe ni Mchaga ambae amechoshwa na majigambo na fahari zenu!!!

Tena bora hata kwa wale wanaoleta fahari ya Kichaga mbele ya akina Mwajuma Ndala Ndefu mpwa wake na Mzee Mbonde ambae kaka yao mkubwa ameolea Upogoroni! Nyie wa mitandaoni mnaowaletea umachinoo wengine ni wasomi kama nyinyi, tena si ajabu hata kuwazidi! Wengine wana uwezo mkubwa kama nyinyi tena pengine hata kuwazidi!! Sasa ndo ukute wale wa "...utakula majivuno yako"; je hajakuchinjia baharini kisa tu your surname is Massawe and s/he's experience with the "Massawes" wakati maskini ya Mungu si ajabu Massawe huyu wala sio miongoni mwa wale wa kujiona wao ndio wao na wengine wote mapopo!!!

So, punguzeni ushamba na ulimbukeni manake ninachokiona kwa baadhi yenu ni ushamba tu na ulimbukeni kwa sababu asiye mshamba na limbukeni anafahamu uhalisia! Anafahamu kwamba hao waliofanikiwa is just a drop of water in the ocean na majority ni sawa na Watanzania wengine mnaowadharau na kuwaona hawajasoma wala hawajui kutafuta ingawaje sijawahi hata siku moja kusikia Wachaga wameenda kutoa msaada kwa maskini Wagogo mkoani Dodoma! Sasa kama na wao hawatafuti sijui wanaishi vp ikiwa hao watafutaji hatujawasikia wakienda kutoa misaada kwa hao wapiga usingizi badala ya kutafuta!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingawa namkubali sana Namba moja, lakini kuna wakati huwa ninahisi ana upendeleo. Juzi wakati kawaweka kitimoto akina Isaac Kamwele, kuna dalili engineer mmoja wa TANROADS kapona kutumbuliwa kwa sababu lafudhi ilimsaidia.
 
[emoji23][emoji23] anaangalia majina pia akiona
Machafu
Masanja
Makoye
Makonda
Manoti n.k anajua ni Ndugu zake na anawaacha
Ingawa namkubali sana Namba moja, lakini kuna wakati huwa ninahisi ana upendeleo. Juzi wakati kawaweka kitimoto akina Isaac Kamwele, kuna dalili engineer mmoja wa TANROADS kapona kutumbuliwa kwa sababu lafudhi ilimsaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du blaza kwani lazima utuanike hivi?
Tumekukosea nini mbona umeongea kwa hasira kali.

Leo ndo ninaamini wachaga hatupendwi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi, nina uhakika unafahamu ni akina nani huwa wanaongea lugha kali dhidi ya Wachaga au makabila mengine lakini mie sio mmoja wao kwa sababu hata haya mambo ya kuongelea makabila, binafsi huwa siya-feel kabisa!! Na kama unadhani nami ni mmoja wao basi utakuwa unanionea tu Kiongozi cos' that's not my style!! But to be honest (naongea hili kutoka ndani kabisa ya moyo wangu) huwa najisikia vibaya sana Wachaga wanavyosemwa vibaya hapa JF ingawaje ukweli ni kwamba ni wenyewe ndio wanatengeneza mazingira ya kusemwa vibaya kutokana na hiyo tabia yenu ya kujiona nyie ndo bora kuliko makabila mengine!! Wachaga Tz ni kama Wayahudi duniani no wonder baadhi ya Wachaga "walevi" na wenyewe huwa wanajifananisha na Wayahudi.

Na hawa Wayahudi wanachukiwa kwa sababu zile zile za wao kujiona bora kuliko wengine!! Ukitoa baadhi ya "Wayahudi Weusi" na "Wayahudi wa kuchovya" sehemu mbali mbali duniani, generally Wayahudi wanachukiwa kila mahali duniani na wala sio kwenye nchi za Kiarabu tu!! Tena bora hata hao Waarabu unaweza kuielewa chuki yao dhidi ya Wayahudi lakini kwingine, hadi unaweza kuogopa na kuhoji where does this hatred come from!!
 
Kuna bosi mchagga namfaham. huyu kwene hela anaeza kudedisha mtu laiv.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachagga wengi wako hivyo, wanapenda pesa hadi kuuwa awaoni tatizo. Pia ni wakabila sana, wanalazimisha mchagga mwenzao apate mfano kazi hata kama hana vigezo wakati wenye vigezo wapo!! Kwenye ukabila hata majirani zao wapare nao si haba kwa kubebana hawajambo. Uenda walifundishwa hizo tabia mbaya na jirani zao akina mangi sina aka wachagga!!
 
Kiongozi, nina uhakika unafahamu ni akina nani huwa wanaongea lugha kali dhidi ya Wachaga au makabila mengine lakini mie sio mmoja wao kwa sababu hata haya mambo ya kuongelea makabila, binafsi huwa siya-feel kabisa!! Na kama unadhani nami ni mmoja wao basi utakuwa unanionea tu Kiongozi cos' that's not my style!! But to be honest (naongea hili kutoka ndani kabisa ya moyo wangu) huwa najisikia vibaya sana Wachaga wanavyosemwa vibaya hapa JF ingawaje ukweli ni kwamba ni wenyewe ndio wanatengeneza mazingira ya kusemwa vibaya kutokana na hiyo tabia yenu ya kujiona nyie ndo bora kuliko makabila mengine!! Wachaga Tz ni kama Wayahudi duniani no wonder baadhi ya Wachaga "walevi" na wenyewe huwa wanajifananisha na Wayahudi.

Na hawa Wayahudi wanachukiwa kwa sababu zile zile za wao kujiona bora kuliko wengine!! Ukitoa baadhi ya "Wayahudi Weusi" na "Wayahudi wa kuchovya" sehemu mbali mbali duniani, generally Wayahudi wanachukiwa kila mahali duniani na wala sio kwenye nchi za Kiarabu tu!! Tena bora hata hao Waarabu unaweza kuielewa chuki yao dhidi ya Wayahudi lakini kwingine, hadi unaweza kuogopa na kuhoji where does this hatred come from!!
mkuu unawafaham vizur? kabla sijafika kwao nina rafik yang mchaga alinidanganya sana kuhusu wao ila nipo huku mwaka wa 7 daaah! akinipigia simu ata yale majigambo hamna kama zamani, nilichojifunza classes lazima ziwepo katika jamii mijengo ipo lakin na nyumba za mbao zipo
 
Back
Top Bottom