Executive Diary
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 325
- 824
Na huu ndio ukweli hata biblia inasema Pesa ipitayo mikononi mwako inaweza kukufanya tajiri au masikini.Unajichanganya, mara wapo wachaga waaminifu halafu hapo hapo wachaga wachache ndo wezi. Ilitakiwa wengi wawe wezi wachache waaminifu ili uhalali wa generalization uwepo.
Wachaga wengi ni wajanja wajanja ila si wezi. Ukimpa hela yako hawezi itunza kabatini, atawaza tu kuizungusha ili ukija ichukua abaki na kifaida chake. Ss kwe kuizungusha hapo ndo anaweza ipoteza akaonekana mwizi.
Pole na Kaa nao mbali mkuu kama wanaokuzunguka ni wauaji. Ila mm nipo na wachaga na sijakutana na muuaji.Kweli, ila kwanini mali zinazidi utu? Yaani mchaga yupo tayari aue ili apate hela?
Wizi na fursa. Nadhani dhana ya wizi inaenda inapunguaPole na Kaa nao mbali mkuu kama wanaokuzunguka ni wauaji. Ila mm nipo na wachaga na sijakutana na muuaji.
Ninaowafahamu ni watu wa fursa. Wana maneno matamu ya kukushawishi uwekeze, sasa kwenye biashara ndo ikitokea hasara anaweza tengeneza mazingira uibebe wewe yote au kwa sehemu kubwa ila ukiwa mjanja ni watu wa kukaa nao karibu maana ni wepesi kuona fursa.
Rais hajakosea, ni ukweli kabisa Mchagga si mtu wa kumwachia hela na wala kuoa....hawafai kabisa.Wanabodi,
Asalam aleikum!
Kwa muda mrefu sasa zile hisia na dhana ya Rais Magufuli kulichukia kabila hili la Wachaga sasa amedhihirisha jana.
Pamoja na kwamba alikuwa anaongea kwa utani lakini hilo ndilo liko moyoni kwake ila hakupata sehemu pa kulisemea.
Katika clip hii ambayo Mama mmoja aliyekuwa akilalamika kuwa wametapeliwa kwenye umoja wa vikoba vyao na Grace Mushi, kitu ambacho kilimfurahisha Rais kusikia aliyemtapeli ni Mchaga.
Rais alienda mbali zaidi kwa kumlaumu Mama huyu kuwa kwanini walimpa dhamana huyu dada wa Kichagga awahifadhie hela?
Pamoja na kwamba alikuwa akiongea kwa utani, lakini alionekana wazi wazi akishadadia kuwa Wachaga si watu wazuri na wakuwamini katika fedha.
Nina wasiwasi tukio hili ni la kutengeneza ili upate sehemu ya kulinanga kabila hili.
Tunaomba utuombe radhi mara moja.
Hayo madaraka makubwa yamesaidia nini hayo makabila ya wenye madaraka makubwa?huwezi kuwa tajiri kwa kumchukia tajiriMkuu msipobadilika mkaacha wizi kamwe madaraka makubwa ya nchi hii mtayasikia tu. Siyo siri, kuna Dr wa kabila la wachaga toka chuo fulani aliwatapeli wanafunzi. Yaani yeye ni kibosile kwenye kitu fulani so kwenye selection ya wanafunzi ili waende kwenye shindano fulani yeye akawa anawatoza wale watoto hela. Wachaga ni smart kwa kuiba na hii inatokana na watangulizi wenu kuwa wezi na kurejesha hela za wizi uchagani hivyo ni mashindano kwenda mbele. Hatukatai wapo wachaga waaminifu sana hata ktk serikali ya awamu ya 5, ila kuna wachaga wachache ni wezi na wanapendeleana kwa ukabila waziwazi, mfano kulikuwa na mchaga mmoja shirika moja alikuwa mtu wa ajabu sana yaani aliwapa ajira wachaga tu, tena huku anajigamba kusema lazima wachaga wapewe kazi, ila uzuri alishafukuzwa kazi sasa anaisoma namba mjinga kabisa.
Huyu hapendi watu wajanja na wenye akili anapenda mazwazwa tu. Wachaga msikate tamaa kaja kawakuta ataondoka mtabaki kuwepo
Wizi na ukabila uko makabila yote. Hivi aliyeficha\iba 1.5trn ni ni mchaga? Mbona huzungumzii ukabila wa sasa bapo teuzi karibu zote ni kanda ya ziwa na haswa wasukumaMkuu msipobadilika mkaacha wizi kamwe madaraka makubwa ya nchi hii mtayasikia tu. Siyo siri, kuna Dr wa kabila la wachaga toka chuo fulani aliwatapeli wanafunzi. Yaani yeye ni kibosile kwenye kitu fulani so kwenye selection ya wanafunzi ili waende kwenye shindano fulani yeye akawa anawatoza wale watoto hela. Wachaga ni smart kwa kuiba na hii inatokana na watangulizi wenu kuwa wezi na kurejesha hela za wizi uchagani hivyo ni mashindano kwenda mbele. Hatukatai wapo wachaga waaminifu sana hata ktk serikali ya awamu ya 5, ila kuna wachaga wachache ni wezi na wanapendeleana kwa ukabila waziwazi, mfano kulikuwa na mchaga mmoja shirika moja alikuwa mtu wa ajabu sana yaani aliwapa ajira wachaga tu, tena huku anajigamba kusema lazima wachaga wapewe kazi, ila uzuri alishafukuzwa kazi sasa anaisoma namba mjinga kabisa.
We bwana utuache na uhaya wetu.Kwamba tibaijuka na rugemalira ni Wachagga?
Kina Rutabanzibwa ni Wachagga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba mhaya ni maskini?[emoji23][emoji23]