Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Naona mmewahi kuja haraka sana ili kufanya damage control ya aichokisema kanisani leo.
Bado anazibeza barakoa! kwa mfano ona alivyomwambia Jaji Mihayo hapa chini:
Magufuli anahatarisha Maisha ya Watanzania kwa mchezo huu wa kuchukulia poa ushauri wa Wataalamu jinsi ya kujikinga na huu ugonjwa.
Maneno yake leo kanisani juu ya barakoa ni unnecessary, unfortunate na yanawachanganya wananchi.
Watu wanakosa msimamo wa pamoja wa kitaifa wa kupambana na huu ugonjwa, kwa sababu kila sauti yenye hekima inapoibuka somewhere kutahadharisha umma, yeye akipewa Mike anatibua.
Hivi huyu mzee anatafuta nini?
Kama yeye binafsi hapendi barakoa aache kuvaa lakini asitoe ushauti wake ambao hatuutaki kwa sababu hauna uthibitisho wa kisayansi, ni maoni yake binafsi ambayo kwa bahati mbaya ni ya kienyeji sana, hayatusaidii kipindi hiki cha hatari!
Anajificha kwenye kivuli cha Mungu, kama kweli anampenda Mungu atueleze yuko wapi Ben Saa Nane, Azory Gwanda, atueleze nani alimpiga risasi Lissu.
Asijifanye anamjua au anamwamini Mungu sana kuliko Papa anayevaa barakoa au baba askofu Ruwaichi anayehimiza uvaaji wa barakoa!