Rais Magufuli: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Korona. Sijazuia matumizi ya Barakoa!

Rais Magufuli: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Korona. Sijazuia matumizi ya Barakoa!

Naona mmewahi kuja haraka sana ili kufanya damage control ya aichokisema kanisani leo.

Bado anazibeza barakoa! kwa mfano ona alivyomwambia Jaji Mihayo hapa chini:

Baraoa2.jpg

Magufuli anahatarisha Maisha ya Watanzania kwa mchezo huu wa kuchukulia poa ushauri wa Wataalamu jinsi ya kujikinga na huu ugonjwa.

Maneno yake leo kanisani juu ya barakoa ni unnecessary, unfortunate na yanawachanganya wananchi.

Watu wanakosa msimamo wa pamoja wa kitaifa wa kupambana na huu ugonjwa, kwa sababu kila sauti yenye hekima inapoibuka somewhere kutahadharisha umma, yeye akipewa Mike anatibua.

Hivi huyu mzee anatafuta nini?
Kama yeye binafsi hapendi barakoa aache kuvaa lakini asitoe ushauti wake ambao hatuutaki kwa sababu hauna uthibitisho wa kisayansi, ni maoni yake binafsi ambayo kwa bahati mbaya ni ya kienyeji sana, hayatusaidii kipindi hiki cha hatari!

Anajificha kwenye kivuli cha Mungu, kama kweli anampenda Mungu atueleze yuko wapi Ben Saa Nane, Azory Gwanda, atueleze nani alimpiga risasi Lissu.

Asijifanye anamjua au anamwamini Mungu sana kuliko Papa anayevaa barakoa au baba askofu Ruwaichi anayehimiza uvaaji wa barakoa!
 
Hii speech ya leo imeonyesha ni jinsi gani amelishwa conspiracy theories.

Anaamini hii ni vita ya kiuchumi. Anaamini barakoa na chanjo zina malengo ya kutuathiri na si kutusaidia.

Anaendeshwa na imani zake na hana ushahidi wowote. Anaamini yeye ndo anajua kuliko watu wote. Anaonekana hapendi kabisa watu wavae barakoa.

Mwisho, anaonekana kwake kifo ni mipango ya Mungu hivyo hata vitokee vifo vingapi haoni kama ana jukumu au uwezo wowote wa kuepusha hivyo vifo.
 
Anasema kuwa hajazuia matumizi ya barakoa wakati ameziponda barakoa kwenye paragraph ya 5 ya waraka wake!🚶🚶🚶
Mkuu waraka ni bora umeandikwa kiheshima kidogo kamsilize youtube kaponda kila kitu cha barakoa. wavaa barakoa hawaamini Mungu wasiovaa wanamuamini Mungu. kawatolea mfano masister wa tatu pale mbele wawili wamevaa mmoja hajavaa akasema namsifu huyu sister hajavaa inaonesha imani yake. akamsimamisha mama mmoja kuwa alikuwa na cancer akapona na barakoa hajavaa anamumini Mungu. alimjuaje huyu mama alikuwa na cancer, well staged drama
 
Hivi Marais wote walikuwa kila ibada (Waislamu na wakristo) lazima kurugenzi ya mawasiliano itoe tamko na mapicha?!
Hpaana. Ni hawa washamba tu.

Si Mwalimu, si Mkapa, ambao walikua wakatoliki haswa walitoa press baada ya misa.

Ushamba ni tatizo haelewi concept ya separation of church and state. Haelewi Tanzania ni a secular nation.
 
Mkuu waraka ni bora umeandikwa kiheshima kidogo kamsilize youtube kaponda kila kitu cha barakoa. wavaa barakoa hawaamini Mungu wasiovaa wanamuamini Mungu. kawatolea mfano masister wa tatu pale mbele wawili wamevaa mmoja hajavaa akasema namsifu huyu sister hajavaa inaonesha imani yake. akamsimamisha mama mmoja kuwa alikuwa na cancer akapona na barakoa hajavaa anamumini Mungu. alimjuaje huyu mama alikuwa na cancer, well staged drama
My godness!Mkuu siamini unachoongea ujue!
 
Tiyari ameanza kukubali taratibu, nilivyokuwa nasikia namna anavyozungumza Majaliwa kwenye Msiba wa Balozi kijazi nikajua kabisa anasafisha njia kwa Jiwe kukubali Corona ipo nchini na watu wanapaswa kuchukua taadhari

Mimi nashauri angehutubia Taifa moja kwa moja kuhusu hili suala linalogharimu maisha ya watu na siyo kujificha makanisani kutoa matamko ya chini kwa chini kwa Jambo serious kama hili

Hamtoshekagi nyie, mnakuja na kingine cha kuhutubia taifa yaan ahutubie taifa kisa Corona? Mambo mengine bana
 
Mkuu waraka ni bora umeandikwa kiheshima kidogo kamsilize youtube kaponda kila kitu cha barakoa. wavaa barakoa hawaamini Mungu wasiovaa wanamuamini Mungu. kawatolea mfano masister wa tatu pale mbele wawili wamevaa mmoja hajavaa akasema namsifu huyu sister hajavaa inaonesha imani yake. akamsimamisha mama mmoja kuwa alikuwa na cancer akapona na barakoa hajavaa anamumini Mungu. alimjuaje huyu mama alikuwa na cancer, well staged drama

Hii speech kwa aliyeisikiliza atajua tuna tatizo kubwa sana na huyu mtu.
 
Mnaoponda kila kitu si muhame Nchi kama ni mbovu? Shida nini hameni nendeni hata iraq huko mkafurahi. Watu haturidhiki
 
Huyu jamaa sio mzima aisee..

haiwezekani paragraphs za juu ahimize watu kuvaa barakoa na kuchukua hatua za kujikinga, halafu kwenye last paragraph anapondea alivyovisema.
Hii paragraph imehitimisha nia ya serekali katika kupambana na janga la corona ni ipi.Imagine social distancing pamoja na kuvaa barakoa vimepondwa na kuonekana kuwa havina maana na maombi yamewekewa msisitizo!View attachment 1708025
 
Back
Top Bottom